Thursday 25th, April 2024
@UWANJA WA BOMBARDIER
Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya kuzuia na kudhibiti Magonjwa Yasiyoambukiza. Maadhimisho haya yanafanyika katika uwanja wa Bombardier kuanzia tarehe 09 Novemba 2019 hadi 14 Novemba 2019.
Huduma mbalimbali za kiafya pamoja na ushauri zinatolewa bila malipo.
Wananchi wote mnakaribishwa.
Kauli mbiu ya Maadhimisho haya ni;
“Tutembee Pamoja katika kuzuia na kudhibiti Magonjwa Yasiyoambukiza”.
SINGIDA
Anuani: P O BOX 5 SINGIDA
Simu: 2502170, 2502089
Simu: 2502170, 2502089
Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz
Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.