• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Kibali cha Uhamisho kutoka kwa Katibu Tawala Mkoa kwenda TAMISEMI

Mtumishi anapohitaji kibali cha Uhamisho kutoka kwa Katibu Tawala Mkoa kwenda TAMISEMI anapaswa kuwa na vitu vifuatavyo:-

1. Barua ya kumuombea kibali iliyoandikwa na  Mwajiri wake (Mkurugenzi)

2. Barua yake ya maombi ya uhamisho aliyotuma kule anakotaka kuhamia

3.Barua ya kukubaliwa maombi yake ya uhamisho kutoka kwa Mwajiri wa mahali anakotaka kuhamia

4. Barua yake ya ajira

5.Barua ya kuthibitishwa kazini

6.Nakala ya kitambulisho cha kazi

7. Nakala ya hati ya mshahara(Salary slip)

8. Kiambatisho cha sababu ya kuhama kwake ( kama ni kumfuata mwenza lazima awe na cheti cha ndoa, kama ni kwa sababu za kifamilia kwamfano kuwa karibu na wazazi au ndugu zake wanaomtegemea anapaswa kuwa na barua ya Mtendaji wa Kata/kijiji/Mtaa wa kule anakokwenda, kama ni ugonjwa  barua ya Rufaa/au ya Daktari kutoka kwenye Hospitali ya Serikali inayoonesha kuwa mtumishi anahitaji kupata matibabu katika Hospitali ya mahali anakoomba kuhamia, ikiwa ni kubadilishana taarifa za mtumishi mwenzake wanayebadilishana naye )

Matangazo

  • SINGIDA INVESTMENT GUIDE February 23, 2021
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 - MKOA WA SINGIDA December 18, 2020
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2019/2020 SINGIDA RS - GPN 2019 - 2020 August 23, 2019
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2018/2019 September 15, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA AWATAKA WAZAZI, MAAFISA USTAWI KUWA KARIBU NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    December 31, 2020
  • TAKWIMU ZAIVUSHA TANZANIA UCHUMI WA KATI- DKT. LUTAMBI

    November 01, 2020
  • UN YAMUUNGA MKONO MAGUFULI KUTOKOMEZA UKATILI WA MWANAMKE IKUNGI

    October 23, 2020
  • VIONGOZI WA DINI SINGIDA WATOA MAAZIMIO MAZITO SABA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

    October 22, 2020
  • Angalia Zote

Video

Baraza la hoja Mkalama 2017
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Singida. Haki Zote Zimehifadhiwa.