• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Dkt. Mganga ataka uwajibikaji katika kuinua ufaulu katika shule za msingi mkoani Singida

Friday 9th, May 2025
@SINGIDA

Maafisa Elimu  wote na Wakuu wa shule mkoani Singidawametakiwa kutumia mbinu mbalimbali kusimamia taaluma ili  kuhakikishaufaulu unaongezeka katika shule za msingi.

Maelekezo hayo yametolewa leo naKatibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatma Mganga wakati alipokutana na Wakuu washule na Maafisa elimu Mkoa, Maafisa elimu Wilaya, Maafisa elimu kata Mkutanouliofanyika Katika ukumbi wa mikutano ulipo katika shule ya Sekondari St.Bernard.

Akiwa katika kikao hicho RASamewataka  Maafisa elimu kuwa watatuzi wa changamoto za Walimu ikiwa nipamoja na kuzitembelea shule na kuja na mikakati ya kuboresha elimu kwakuhakikisha kila mwalimu anatimiza majukumu yake na kufanya kazi kwa ushindani.

Ameagiza wakuu wa shule kuwa nakawaida ya kufanya tathimini ya  kila wiki kwa walimu na masomo wanayoyafundisha ili kubaini mapungufu na namna ya kutatua  ambapo amesemaitasaidia kuwapima kutokana na matokeo.

Dkt. Mganga amesema ni wakati sasawalimu hao pamoja na watendaji wengine wakiwemo maafisa elimu kutoka maofisikwenda kwenye shule ambazo zinachangamoto ili kuinua hali ya elimu kwa kufanyatathmini ya wanafunzi ambao wanashindwa kuwa na matokeo mazuri.

“Twendeni tukafanye kazi, tuacheubosi, twendeni tukafanye tathmini tujue mwanafunzi gani anachangamoto ipi ilituweze kuzikabili changamoto ambazo zinaturudisha nyuma kiwango cha elimukwenye mkoa wetu”. Alisema Dkt. Mganga

“Kiongozi unaweka mikakati ilikuweza kupata matokeo usisikilize Rumors tumia jitihada zako upate matokeo iliuweke Legacy”. Aliongeza Katibu Tawala huyo.

Dkt. Mganga aliongeza kwa kusemakuwa viongozi wa Mkoa wa Singida wanapaswa kufanya kazi kwa kujituma ili wawezekuweka alama hivyo akasisitiza walimu wakuu kujituma na kujitoa zaidi kwenyekutoa elimu kwa wanafunzi.

Afisa Elimu Msingi Wilaya yaBahi, Boniface Willson ambaye alikuja kuwajengea uwezo walimu wa mkoa waSingida alisema kuwa mwaka 2017 Halmashauri ya Bahi ilikuwa na shule ambazozilikuwa hazifanyi vizuri kwenye elimu msingi hadi ikapewa bendera nyeusilakini baada ya kufanya tathimini kwa sasa imekuwa ikifanya vizuri.

Willson alisema kujituma kwawalimu wakuu kwenye Halmashauri hiyo ndiko kumeweza kubadilisha kutoka ufauluwa chini na sasa imekuwa moja ya Halmashauri inayofanya vizuri ndani ki mkoahadi kitaifa.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.