• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Fedha na Uhasibu

FEDHA NA UHASIBU

KITENGO CHA UHASIBU

Majukumu ya Kitengo cha Fedha na Uhasibu yamegawanyika kwenye Nyanja zifuatazo

USIMAMIZI WA MISHAHARA

  • Kuandaa na kuidhinisha malipo ya Mishahara
  • Kuandaa na kutunza orodha ya Watumishi wanaolopwa Mishahara
  • Kuwezeha Makato Mbalimbali kutoka Mishahara ya Watumishi na kuyawasilisha katika Mamlaka husika.

KUWEZESHA MALIPO

  • Kuandaa na kuingiza Malipo kwenye Mtandao wa Malipo
  • Kuchukua hundi za Malipo kutoka Hazina Ndogo
  • Kupeleka fedha taslimu na hundi benki
  • Kutayarisha taarifa za Mwezi za Malipo
  • Kuwalipa watumishi fedha taslimu au hundi na kuwalipa watoa huduma kwa hundi.
  • Kutunza Daftari la Hesabu.

HESABU ZA MWISHO WA MWAKA

  • Kutayarisha makadirio ya bajeti na kudhibiti Matumizi
  • Kuandaa taarifa za matumizi ya robo Mwaka,nusu Mwaka na Mwaka mzima kwa ajili ya kuwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali.
  • Kujibu hoja zote na Maoni ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
  • Kuandaa taarifa ya Hesabu za Mwisho wa Mwaka na kuziwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali na mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Setikali.

UKUSANYAJI MAPATO

  • Kukusanya Mapato
  • Kusimamia Mapato kwa mujibu wa sheria na Miongozo

UKAGUZI WA AWALI.

  • Kuhakiki nyaraka za Malipo kama zimezingatia taratibu za Malipo ikiwa ni pamoja na kuidhinishwa.
  • Kuhakikisha kama sheria  kanuni na miongozo na nyaraka za fedha kama zimezingatiwa
  • Kuhakikisha Malipo yatakayofanyika hayavuki bajeti ya kasma husika.




KITENGO CHA UHASIBU

Majukumu ya kitengo cha Fedha na Uhasibu yamegawanyika kwenye nyanja zifuatazo:

Usimamizi wa Mishahara:

  • Kuandaa na kuidhinisha malipo ya Mishahara
  • kuandaa na kutunza orodha ya watumishi wanaolipwa mishahara
  • Kuwezesha makato mbalimbali kutoka mishahara ya watumishi na kuyawasilishan mamlaka husika

Kuwezesha Malipo:

  • Kuandaa na kuingiza malipo kwenye mtandao wa malipo
  • Kuchukua hundi zamalipo kutoka Hazina ndogo
  • Kupeleka fedha tasilimu na hundi benki
  • Kutayarisha taarifa za mwezi za malipo
  • Kuwalipa watumishi fedha taslimu au hundi na kuwalipa watoa huduma kwa hundi
  • Kutunza daftari la hesabu

Hesabu za Mwisho wa Mwaka:

  • Kutayarisha Makadirio ya bajeti na kudhibiti matumizi
  • Kuandaa taarifa ya matumizi ya robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima kwa ajili ya kuiwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali
  • Kujibu hoja zote na maoni ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
  • Kuandaa taarifa ya hesabu za mwisho wa mwaka na kuziwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

Ukusanyaji Mapato:

  • Kukusanya Mapato
  • Kusimamia mapato kwa mujibu wa sheria na miongozo

Ukaguzi wa Awali:

  • Kuhakiki nyaraka za malipo kama zimezingatia taratibu za malipo ikiwa ni pamoja na kuidhinishwa
  • Kuhakikisha kama sheria, kanuni na miongozo na nyaraka za fedha kama zimezingatiwa
  • Kuhakikisha malipo yatakayofanyika hayavuki bajeti ya kasma husika

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT.SAMIA WABISHA HODI SINGIDA

    April 23, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.