• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Education

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA                                                                                                                                     MKOA WA SINGIDA 

ORODHA YA SHULE ZA AWALI NA MSINGI

S/N

MKOA 

HALMASHAURI
KATA
JINA LA SHULE

1

SINGIDA
MANYONI
SASAJILA
CHIBUMAGWA

2

SINGIDA
MANYONI
SANZA
CHICHEHO

3

SINGIDA
MANYONI
CHIKOLA
CHIDAMSULU

4

SINGIDA
MANYONI
CHIKOLA
CHIKOLA

5

SINGIDA
MANYONI
HEKA
CHIKOMBO

6

SINGIDA
MANYONI
CHIKUYU
CHIKUYU

7

SINGIDA
MANYONI
CHIKUYU
CHILIGATI

8

SINGIDA
MANYONI
SASILO
CHISINGISA

9

SINGIDA
MANYONI
MAKUTUPORA
DABIA

10

SINGIDA
MANYONI
HEKA
HEKA

11

SINGIDA
MANYONI
MAKURU
HIKA

12

SINGIDA
MANYONI
ISSEKE
IGWAMADETE

13

SINGIDA
MANYONI
SANZA
IKASI

14

SINGIDA
MANYONI
SARANDA
ILALOO

15

SINGIDA
MANYONI
SASILO
IMALAMPAKA

16

SINGIDA
MANYONI
NKONKO
IPANDUKA

17

SINGIDA
MANYONI
CHIKOLA
IPULULU

18

SINGIDA
MANYONI
ISSEKE
ISSEKE

19

SINGIDA
MANYONI
MUHALALA
KAPITI

20

SINGIDA
MANYONI
CHIKOLA
KASANII

21

SINGIDA
MANYONI
SOLYA
KILIMATINDE

22

SINGIDA
MANYONI
MAJIRI
KINANGALI

23

SINGIDA
MANYONI
KINTIKU
KINTINKU

24

SINGIDA
MANYONI
MKWESE
KINYIKA

25

SINGIDA
MANYONI
MAKANDA
KITALALO

26

SINGIDA
MANYONI
MAKURU
LONDONI

27

SINGIDA
MANYONI
KINTIKU
LUSILILE

28

SINGIDA
MANYONI
MAKANDA
MAGASAI

29

SINGIDA
MANYONI
MAJIRI
MAHAKA

30

SINGIDA
MANYONI
MANYONI
MAJENGO

31

SINGIDA
MANYONI
MAJIRI
MAJIRI

32

SINGIDA
MANYONI
MAKANDA
MAKANDA

33

SINGIDA
MANYONI
SASAJILA
MAKASUKU

34

SINGIDA
MANYONI
MAKURU
MAKURU

35

SINGIDA
MANYONI
MAKURU
MAKURU B

36

SINGIDA
MANYONI
MAKUTUPORA
MAKUTUPORA

37

SINGIDA
MANYONI
ISSEKE
MANGOLI

38

SINGIDA
MANYONI
MANYONI
MANYONI

39

SINGIDA
MANYONI
MANYONI
MASIGATI

40

SINGIDA
MANYONI
MAWENI
MAWENI

41

SINGIDA
MANYONI
MAKUTUPORA
MBWASA

42

SINGIDA
MANYONI
MUHALALA
MDUNUNDU

43

SINGIDA
MANYONI
MKWESE
MITOO

44

SINGIDA
MANYONI
MKWESE
MKWESE

45

SINGIDA
MANYONI
MAJIRI
MPANDAGANI

46

SINGIDA
MANYONI
ISSEKE
MPAPA

47

SINGIDA
MANYONI
NKONKO
MPOLA

48

SINGIDA
MANYONI
MUHALALA
MUHALALA

49

SINGIDA
MANYONI
MAWENI
MVUMI

50

SINGIDA
MANYONI
MANYONI
MWANZI

51

SINGIDA
MANYONI
MANYONI
MWEMBENI

52

SINGIDA
MANYONI
CHIKUYU
MWIBOO

53

SINGIDA
MANYONI
SASILO
MWITIKILA

54

SINGIDA
MANYONI
MAWENI
NGAITI

55

SINGIDA
MANYONI
NKONKO
NKONKO

56

SINGIDA
MANYONI
SANZA
NTOPE

57

SINGIDA
MANYONI
SANZA
NTUMBI

58

SINGIDA
MANYONI
SANZA
SANZA

59

SINGIDA
MANYONI
SARANDA
SARANDA

60

SINGIDA
MANYONI
SASAJILA
SASAJILA

61

SINGIDA
MANYONI
SASILO
SASILO

62

SINGIDA
MANYONI
MANYONI
SAYUNI

63

SINGIDA
MANYONI
ISSEKE
SIMBANGURU

64

SINGIDA
MANYONI
SOLYA
SOLYA

65

SINGIDA
MANYONI
SOLYA
SUKAMAHELA

66

SINGIDA
MANYONI
MANYONI
TAMBUKARELI

67

SINGIDA
MANYONI
KINTIKU
UDIMAA

68

SINGIDA
MANYONI
CHIKOLA
WINAMILA

69

SINGIDA
MANYONI
MANYONI
TARGET ELEMENTARY

70

SINGIDA
MANYONI
MANYONI
LIGHTNESS ENGLISH MEDIUM

71

SINGIDA
MANYONI
MANYONI
PADRE DINO PRE AND PRIMARY

72

SINGIDA
MANYONI
MANYONI
IMAM RABII ISLAMIC SCHOOL

73

SINGIDA
MANYONI
SOLYA
ST. JOHN 'S PRE AND PRIMARY SCHOOL

74

SINGIDA
MKALAMA
GUMANGA
GUMANGA

75

SINGIDA
MKALAMA
GUMANGA
MAELU

76

SINGIDA
MKALAMA
GUMANGA
MGIMBA

77

SINGIDA
MKALAMA
GUMANGA
IKUNGU

78

SINGIDA
MKALAMA
GUMANGA
KINANKAMBA

79

SINGIDA
MKALAMA
GUMANGA
MNKOLA

80

SINGIDA
MKALAMA
IBAGA
IBAGA

81

SINGIDA
MKALAMA
IBAGA
MKALAMA

82

SINGIDA
MKALAMA
IBAGA
KILIMANI

83

SINGIDA
MKALAMA
IBAGA
IGENGU

84

SINGIDA
MKALAMA
IBAGA
IGONIA

85

SINGIDA
MKALAMA
IBAGA
ITYANUNDI

86

SINGIDA
MKALAMA
IBAGA
ILANGIDA

87

SINGIDA
MKALAMA
IBAGA
ILONGO

88

SINGIDA
MKALAMA
IGUGUNO
IGUGUNO

89

SINGIDA
MKALAMA
IGUGUNO
SOPHIA

90

SINGIDA
MKALAMA
IGUGUNO
MWANDU

91

SINGIDA
MKALAMA
IGUGUNO
SENENE

92

SINGIDA
MKALAMA
IGUGUNO
LUKOMO

93

SINGIDA
MKALAMA
IGUGUNO
KIBOLOLO

94

SINGIDA
MKALAMA
IGUGUNO
NYERI

95

SINGIDA
MKALAMA
IGUGUNO
ST. MARIE EUGENIA

96

SINGIDA
MKALAMA
ILUNDA
ASANJA

97

SINGIDA
MKALAMA
ILUNDA
NKUNGI

98

SINGIDA
MKALAMA
ILUNDA
ILUNDA

99

SINGIDA
MKALAMA
ILUNDA
IAMBI

100

SINGIDA
MKALAMA
ILUNDA
UWANJA WA NDEGE

101

SINGIDA
MKALAMA
KIKHONDA
KIKHONDA

102

SINGIDA
MKALAMA
KIKHONDA
NKENKE

103

SINGIDA
MKALAMA
KIKHONDA
MBIGIGI

104

SINGIDA
MKALAMA
KIKHONDA
IRAMA

105

SINGIDA
MKALAMA
KINAMPUNDU
KINAMPUNDU

106

SINGIDA
MKALAMA
KINAMPUNDU
MDILIKA

107

SINGIDA
MKALAMA
KINAMPUNDU
MWANIGWE

108

SINGIDA
MKALAMA
KINAMPUNDU
SINGA

109

SINGIDA
MKALAMA
KINYANGIRI
KINYANGIRI

110

SINGIDA
MKALAMA
KINYANGIRI
MNOLO

111

SINGIDA
MKALAMA
KINYANGIRI
ISHENGA

112

SINGIDA
MKALAMA
KINYANGIRI
YULANSONI

113

SINGIDA
MKALAMA
KINYANGIRI
LYELEMBO

114

SINGIDA
MKALAMA
MATONGO
ISANZU

115

SINGIDA
MKALAMA
MATONGO
ISENE

116

SINGIDA
MKALAMA
MATONGO
MNUNG'UNA

117

SINGIDA
MKALAMA
MIGANGA
MIGANGA

118

SINGIDA
MKALAMA
MIGANGA
IPULI

119

SINGIDA
MKALAMA
MIGANGA
KINANDILI

120

SINGIDA
MKALAMA
MIGANGA
MGOLOMBYO

121

SINGIDA
MKALAMA
MPAMBALA
NYAHAA

122

SINGIDA
MKALAMA
MPAMBALA
MKIKO

123

SINGIDA
MKALAMA
MPAMBALA
LUGONGO

124

SINGIDA
MKALAMA
MPAMBALA
CHEMCHEM

125

SINGIDA
MKALAMA
MPAMBALA
TATAZI

126

SINGIDA
MKALAMA
MSINGI
MSINGI

127

SINGIDA
MKALAMA
MSINGI
NDALLA

128

SINGIDA
MKALAMA
MSINGI
ISHINSI

129

SINGIDA
MKALAMA
MSINGI
DARAJANI

130

SINGIDA
MKALAMA
MSINGI
NDURUMO

131

SINGIDA
MKALAMA
MSINGI
SONGAMBELE

132

SINGIDA
MKALAMA
MWANGA
MWANGA

133

SINGIDA
MKALAMA
MWANGA
MZENGI

134

SINGIDA
MKALAMA
MWANGA
MSIU

135

SINGIDA
MKALAMA
MWANGA
KIDIGIDA

136

SINGIDA
MKALAMA
MWANGA
MSISAI

137

SINGIDA
MKALAMA
MWANGA
KIDARAFA

138

SINGIDA
MKALAMA
MWANGA
MARERA

139

SINGIDA
MKALAMA
MWANGA
TANGANYIKA

140

SINGIDA
MKALAMA
MWANGEZA
MWANGEZA

141

SINGIDA
MKALAMA
MWANGEZA
MITALA

142

SINGIDA
MKALAMA
MWANGEZA
ENDASIKU

143

SINGIDA
MKALAMA
MWANGEZA
IKOLO

144

SINGIDA
MKALAMA
MWANGEZA
MUNGULI

145

SINGIDA
MKALAMA
MWANGEZA
HILAMOTO

146

SINGIDA
MKALAMA
MWANGEZA
DOMINIKI

147

SINGIDA
MKALAMA
MWANGEZA
MATERE

148

SINGIDA
MKALAMA
MWANGEZA
MIDIBWI

149

SINGIDA
MKALAMA
MWANGEZA
KIPAMBA

150

SINGIDA
MKALAMA
MWANGEZA
MKATO

151

SINGIDA
MKALAMA
NDUGUTI
NDUGUTI

152

SINGIDA
MKALAMA
NDUGUTI
MAZILIGA

153

SINGIDA
MKALAMA
NDUGUTI
KILYUNGU

154

SINGIDA
MKALAMA
NDUGUTI
MNG'ANDA

155

SINGIDA
MKALAMA
NDUGUTI
NDUGUTI PRE AND PRIMARY SCHOOL

156

SINGIDA
MKALAMA
NKALAKALA
NKALAKALA

157

SINGIDA
MKALAMA
NKALAKALA
MKUNGURU

158

SINGIDA
MKALAMA
NKALAKALA
MALAJA

159

SINGIDA
MKALAMA
NKINTO
MAKULO

160

SINGIDA
MKALAMA
NKINTO
KINYAMBULI

161

SINGIDA
MKALAMA
NKINTO
MNTAMBA

162

SINGIDA
MKALAMA
NKINTO
MAZANGILI

163

SINGIDA
MKALAMA
NKINTO
MIGUNGA

164

SINGIDA
MKALAMA
NKINTO
MBELELE

165

SINGIDA
MKALAMA
TUMULI
TUMULI

166

SINGIDA
MKALAMA
TUMULI
MILADE

167

SINGIDA
MKALAMA
TUMULI
KITUMBILI

168

SINGIDA
MKALAMA
TUMULI
MPAKO

169

SINGIDA
IRAMBA
KASELYA
KASELYA

170

SINGIDA
IRAMBA
KASELYA
MUGUNGIA

171

SINGIDA
IRAMBA
KASELYA
MUUNGANO

172

SINGIDA
IRAMBA
KASELYA
NSONGA

173

SINGIDA
IRAMBA
KASELYA
AZIMIO

174

SINGIDA
IRAMBA
KIDARU
KIDARU

175

SINGIDA
IRAMBA
KIDARU
LUONO

176

SINGIDA
IRAMBA
KIDARU
MWAMAPULI

177

SINGIDA
IRAMBA
KIDARU
NDURUMO

178

SINGIDA
IRAMBA
KIDARU
TYEGELO

179

SINGIDA
IRAMBA
KINAMPANDA
GALANGALA

180

SINGIDA
IRAMBA
KINAMPANDA
KINAMPANDA

181

SINGIDA
IRAMBA
KINAMPANDA
KISHARITA

182

SINGIDA
IRAMBA
KINAMPANDA
KYALOSANGI

183

SINGIDA
IRAMBA
KINAMPANDA
MUNKONZE

184

SINGIDA
IRAMBA
KINAMPANDA
UWANZA

185

SINGIDA
IRAMBA
KIOMBOI
NOTRE DAME

186

SINGIDA
IRAMBA
KIOMBOI
IGUMO

187

SINGIDA
IRAMBA
KIOMBOI
KIOMBOI BOMANI

188

SINGIDA
IRAMBA
KIOMBOI
KIZEGA

189

SINGIDA
IRAMBA
KIOMBOI
RURUMA

190

SINGIDA
IRAMBA
KIOMBOI
SHATI

191

SINGIDA
IRAMBA
KIOMBOI
TUTU

192

SINGIDA
IRAMBA
KISIRIRI
KIMPUNDA

193

SINGIDA
IRAMBA
KISIRIRI
KINALILYA

194

SINGIDA
IRAMBA
KISIRIRI
KISANA

195

SINGIDA
IRAMBA
KISIRIRI
KISIRIRI

196

SINGIDA
IRAMBA
KISIRIRI
KISIMBA

197

SINGIDA
IRAMBA
KISIRIRI
KINAKUMI

198

SINGIDA
IRAMBA
KYENGEGE
ISHUILA

199

SINGIDA
IRAMBA
KYENGEGE
KYENGEGE

200

SINGIDA
IRAMBA
KYENGEGE
MAKUNDA

201

SINGIDA
IRAMBA
KYENGEGE
MUGUNDU

202

SINGIDA
IRAMBA
KYENGEGE
ULYANG'OMBE

203

SINGIDA
IRAMBA
MALUGA
MALUGA

204

SINGIDA
IRAMBA
MALUGA
MALUGA KONA

205

SINGIDA
IRAMBA
MALUGA
NG'ANGULI

206

SINGIDA
IRAMBA
MBELEKESE
ISENENKUA

207

SINGIDA
IRAMBA
MBELEKESE
KIKONGE

208

SINGIDA
IRAMBA
MBELEKESE
MBELEKESE

209

SINGIDA
IRAMBA
MBELEKESE
MISUNA

210

SINGIDA
IRAMBA
MBELEKESE
USURE

211

SINGIDA
IRAMBA
MBELEKESE
MPULI

212

SINGIDA
IRAMBA
MGONGO
 MSEKO

213

SINGIDA
IRAMBA
MGONGO
KIBULULU

214

SINGIDA
IRAMBA
MGONGO
KIZONZO

215

SINGIDA
IRAMBA
MGONGO
MGONGO

216

SINGIDA
IRAMBA
MTEKENTE
KIGULUNSUNGI

217

SINGIDA
IRAMBA
MTEKENTE
KISONGA

218

SINGIDA
IRAMBA
MTEKENTE
MSANSAO

219

SINGIDA
IRAMBA
MTEKENTE
MTEKENTE

220

SINGIDA
IRAMBA
MTEKENTE
UJUNGU

221

SINGIDA
IRAMBA
MTOA
IKARANGA

222

SINGIDA
IRAMBA
MTOA
KINKUNGU

223

SINGIDA
IRAMBA
MTOA
MASAGI

224

SINGIDA
IRAMBA
MTOA
MGELA

225

SINGIDA
IRAMBA
MTOA
MSAI

226

SINGIDA
IRAMBA
MTOA
MTOA

227

SINGIDA
IRAMBA
MTOA
TYEME

228

SINGIDA
IRAMBA
MUKULU
MOTOMOTO

229

SINGIDA
IRAMBA
MUKULU
MUKULU

230

SINGIDA
IRAMBA
MUKULU
SIMBALUNGWALA

231

SINGIDA
IRAMBA
NDAGO
NDAGO

232

SINGIDA
IRAMBA
NDAGO
NGUVUMALI

233

SINGIDA
IRAMBA
NDAGO
SONGAMBELE

234

SINGIDA
IRAMBA
NDAGO
KIBAYA

235

SINGIDA
IRAMBA
NDAGO
USHORA UTEMINI

236

SINGIDA
IRAMBA
NDAGO
LUZILUKULU

237

SINGIDA
IRAMBA
NDULUNGU
KIPUMA

238

SINGIDA
IRAMBA
NDULUNGU
MAHOLA

239

SINGIDA
IRAMBA
NDULUNGU
MAKUNGU

240

SINGIDA
IRAMBA
NDULUNGU
MWANDUIGEMBE

241

SINGIDA
IRAMBA
NDULUNGU
NDULUNGU

242

SINGIDA
IRAMBA
NTWIKE
ISSUI

243

SINGIDA
IRAMBA
NTWIKE
MAPINDUZI

244

SINGIDA
IRAMBA
NTWIKE
NTWIKE

245

SINGIDA
IRAMBA
NTWIKE
SEKENKE

246

SINGIDA
IRAMBA
NTWIKE
MILAMBO

247

SINGIDA
IRAMBA
NTWIKE
WALLA

248

SINGIDA
IRAMBA
OLD KIOMBOI
GLORIA DEI SCHOOL

249

SINGIDA
IRAMBA
OLD KIOMBOI
KINAMBEU

250

SINGIDA
IRAMBA
OLD KIOMBOI
KIOMBIO  HOSPITALI

251

SINGIDA
IRAMBA
OLD KIOMBOI
LULUMBA

252

SINGIDA
IRAMBA
OLD KIOMBOI
MAMPANTA

253

SINGIDA
IRAMBA
OLD KIOMBOI
MELI

254

SINGIDA
IRAMBA
OLD KIOMBOI
SALALA

255

SINGIDA
IRAMBA
SHELUI
ST.DESDERIUS

256

SINGIDA
IRAMBA
SHELUI
KIBIGIRI

257

SINGIDA
IRAMBA
SHELUI
NKYALA

258

SINGIDA
IRAMBA
SHELUI
NSELEMBWE

259

SINGIDA
IRAMBA
SHELUI
SHELUI

260

SINGIDA
IRAMBA
SHELUI
TINTIGULU

261

SINGIDA
IRAMBA
SHELUI
WEMBERE

262

SINGIDA
IRAMBA
TULYA
DOROMONI

263

SINGIDA
IRAMBA
TULYA
MIGILANGO

264

SINGIDA
IRAMBA
TULYA
TULYA

265

SINGIDA
IRAMBA
ULEMO
KICHANGANI

266

SINGIDA
IRAMBA
ULEMO
KITUKUTU

267

SINGIDA
IRAMBA
ULEMO
MISIGIRI

268

SINGIDA
IRAMBA
ULEMO
NKINGI

269

SINGIDA
IRAMBA
ULEMO
ULEMO

270

SINGIDA
IRAMBA
ULEMO
YALAGANO

271

SINGIDA
IRAMBA
URUGHU
HAILA

272

SINGIDA
IRAMBA
URUGHU
MANG'OLE

273

SINGIDA
IRAMBA
URUGHU
MASIMBA

274

SINGIDA
IRAMBA
URUGHU
MAYANZANI

275

SINGIDA
IRAMBA
URUGHU
MLANDALA

276

SINGIDA
IRAMBA
URUGHU
URUGHU

277

SINGIDA
IKUNGI
DUNG'UNYI
DAMANKIA

278

SINGIDA
IKUNGI
DUNG'UNYI
DUNG'UNYI

279

SINGIDA
IKUNGI
DUNG'UNYI
KIPUMBUIKO

280

SINGIDA
IKUNGI
DUNG'UNYI
MUNKINYA

281

SINGIDA
IKUNGI
DUNG'UNYI
SAMAKA

282

SINGIDA
IKUNGI
IGHOMBWE
IGHOMBWE

283

SINGIDA
IKUNGI
IGHOMBWE
MAKHONDA

284

SINGIDA
IKUNGI
IGHOMBWE
GERMANI

285

SINGIDA
IKUNGI
IGHOMBWE
MSOSA

286

SINGIDA
IKUNGI
IGLANSONI
IGLANSONI

287

SINGIDA
IKUNGI
IGLANSONI
ILOLO

288

SINGIDA
IKUNGI
IGLANSONI
ISHINGISHA

289

SINGIDA
IKUNGI
IGLANSONI
MNYANGE

290

SINGIDA
IKUNGI
IGLANSONI
NKURUSI

291

SINGIDA
IKUNGI
IGLANSONI
KIZUNGU

292

SINGIDA
IKUNGI
IGLANSONI
MWARE

293

SINGIDA
IKUNGI
IHANJA
LAINICHUNGU

294

SINGIDA
IKUNGI
IHANJA
MAKHONGO

295

SINGIDA
IKUNGI
IHANJA
MAPAMBANO

296

SINGIDA
IKUNGI
IHANJA
NDURU

297

SINGIDA
IKUNGI
IKUNGI
IGHUKA

298

SINGIDA
IKUNGI
IKUNGI
IKUNGI

299

SINGIDA
IKUNGI
IKUNGI
MATONGO

300

SINGIDA
IKUNGI
IKUNGI
MAU

301

SINGIDA
IKUNGI
IKUNGI
MBUGHANTIGHA

302

SINGIDA
IKUNGI
IKUNGI
MBWANJIKI

303

SINGIDA
IKUNGI
IKUNGI
TEREZA DE LIMA

304

SINGIDA
IKUNGI
IRISYA
KISILUDA

305

SINGIDA
IKUNGI
IRISYA
MUNYU

306

SINGIDA
IKUNGI
IRISYA
MWASUTIANGA

307

SINGIDA
IKUNGI
ISSEKE
IHANJA

308

SINGIDA
IKUNGI
ISSEKE
NKHOIREE

309

SINGIDA
IKUNGI
ISSEKE
UNYANGWE

310

SINGIDA
IKUNGI
ISSUNA
INANG'ANA

311

SINGIDA
IKUNGI
ISSUNA
MANJARU

312

SINGIDA
IKUNGI
ISSUNA
ISSUNA

313

SINGIDA
IKUNGI
ISSUNA
MAYUTA

314

SINGIDA
IKUNGI
ISSUNA
NG'ONGOSORO

315

SINGIDA
IKUNGI
ISSUNA
AGHIDA

316

SINGIDA
IKUNGI
IYUMBU
NYAMBI

317

SINGIDA
IKUNGI
IYUMBU
IYUMBU

318

SINGIDA
IKUNGI
IYUMBU
MAKUNGU

319

SINGIDA
IKUNGI
IYUMBU
ILOWOKO

320

SINGIDA
IKUNGI
IYUMBU
MKENENE

321

SINGIDA
IKUNGI
KIKIO
KIKIO

322

SINGIDA
IKUNGI
KIKIO
MANKUMBI

323

SINGIDA
IKUNGI
KIKIO
SIMBIKWA

324

SINGIDA
IKUNGI
KIKIO
MNANE

325

SINGIDA
IKUNGI
KIKIO
NKUNDI

326

SINGIDA
IKUNGI
KITUNTU
KITUNTU

327

SINGIDA
IKUNGI
KITUNTU
MATYUKU

328

SINGIDA
IKUNGI
KITUNTU
MUSAMBU

329

SINGIDA
IKUNGI
KITUNTU
SAMAMBA

330

SINGIDA
IKUNGI
KITUNTU
UTAHO

331

SINGIDA
IKUNGI
LIGHWA
LIGHWA

332

SINGIDA
IKUNGI
LIGHWA
MWISI

333

SINGIDA
IKUNGI
LIGHWA
UJAIRE

334

SINGIDA
IKUNGI
MAKILAWA
MAJENGO

335

SINGIDA
IKUNGI
MAKILAWA
MAGWEGHANA

336

SINGIDA
IKUNGI
MAKILAWA
MTAVIRA

337

SINGIDA
IKUNGI
MAKILAWA
MTEVA

338

SINGIDA
IKUNGI
MAKIUNGU
KIMBWI

339

SINGIDA
IKUNGI
MAKIUNGU
MUYANJI

340

SINGIDA
IKUNGI
MAKIUNGU
MAKIUNGU

341

SINGIDA
IKUNGI
MAKIUNGU
MINYINGA

342

SINGIDA
IKUNGI
MAKIUNGU
NEW VISION

343

SINGIDA
IKUNGI
MANG'ONYI
MANG'ONYI

344

SINGIDA
IKUNGI
MANG'ONYI
MBOGHO

345

SINGIDA
IKUNGI
MANG'ONYI
MLUMBI

346

SINGIDA
IKUNGI
MANG'ONYI
MWAU

347

SINGIDA
IKUNGI
MANG'ONYI
SAMBARU

348

SINGIDA
IKUNGI
MANG'ONYI
MTARU MLIMANI

349

SINGIDA
IKUNGI
MGUNGIRA
MAGUNGUMKA

350

SINGIDA
IKUNGI
MGUNGIRA
MGUNGIRA

351

SINGIDA
IKUNGI
MGUNGIRA
UFANA

352

SINGIDA
IKUNGI
MINYUGHE
BUNKU

353

SINGIDA
IKUNGI
MINYUGHE
MAYAHA

354

SINGIDA
IKUNGI
MINYUGHE
KINYARIMI

355

SINGIDA
IKUNGI
MINYUGHE
MINYUGHE

356

SINGIDA
IKUNGI
MINYUGHE
MULAGWE

357

SINGIDA
IKUNGI
MINYUGHE
KIKHOMANGO

358

SINGIDA
IKUNGI
MISUGHAA
MISUGHAA

359

SINGIDA
IKUNGI
MISUGHAA
MINYIGHI

360

SINGIDA
IKUNGI
MISUGHAA
MSULE

361

SINGIDA
IKUNGI
MISUGHAA
SAKAA

362

SINGIDA
IKUNGI
MKIWA
CHODA

363

SINGIDA
IKUNGI
MKIWA
DARAJANI

364

SINGIDA
IKUNGI
MKIWA
MKIWA

365

SINGIDA
IKUNGI
MKIWA
MT.URSULA

366

SINGIDA
IKUNGI
MKIWA
MT.JOSEPH

367

SINGIDA
IKUNGI
MTUNDURU
KINTANDAA

368

SINGIDA
IKUNGI
MTUNDURU
MISULE

369

SINGIDA
IKUNGI
MTUNDURU
KIPUNDA

370

SINGIDA
IKUNGI
MTUNDURU
MASWEYA

371

SINGIDA
IKUNGI
MTUNDURU
IFYAMAHUMBI

372

SINGIDA
IKUNGI
MTUNDURU
MTUNDURU

373

SINGIDA
IKUNGI
MUHINTIRI
MPETU

374

SINGIDA
IKUNGI
MUHINTIRI
KINYAMPEMBEE

375

SINGIDA
IKUNGI
MUHINTIRI
MUHINTIRI

376

SINGIDA
IKUNGI
MUNGAA
KINKU

377

SINGIDA
IKUNGI
MUNGAA
MANDIMU

378

SINGIDA
IKUNGI
MUNGAA
MUNGAA

379

SINGIDA
IKUNGI
MUNGAA
UNYAGHUMPI

380

SINGIDA
IKUNGI
MWARU
KAUGERI

381

SINGIDA
IKUNGI
MWARU
MDUGHUYU

382

SINGIDA
IKUNGI
MWARU
MLANDALA

383

SINGIDA
IKUNGI
MWARU
MPUGIZI

384

SINGIDA
IKUNGI
MWARU
MWARU

385

SINGIDA
IKUNGI
NTUNTU
MUGHUMBU

386

SINGIDA
IKUNGI
NTUNTU
NTEWA

387

SINGIDA
IKUNGI
NTUNTU
MAMPANDO

388

SINGIDA
IKUNGI
NTUNTU
NTUNTU

389

SINGIDA
IKUNGI
NTUNTU
TARU

390

SINGIDA
IKUNGI
PUMA
PUMA

391

SINGIDA
IKUNGI
PUMA
NKUNINKANA

392

SINGIDA
IKUNGI
PUMA
WIBIA

393

SINGIDA
IKUNGI
SEPUKA
MNANG'ANA

394

SINGIDA
IKUNGI
SEPUKA
MSUNGUA

395

SINGIDA
IKUNGI
SEPUKA
ITALALA

396

SINGIDA
IKUNGI
SEPUKA
MUSIMI

397

SINGIDA
IKUNGI
SIUYU
MAKOTEA

398

SINGIDA
IKUNGI
SIUYU
SIUYU

399

SINGIDA
IKUNGI
SIUYU
NALI

400

SINGIDA
IKUNGI
SIUYU
UNYANKHANYA

401

SINGIDA
IKUNGI
UNYAHATI
KINYAMWANDYO

402

SINGIDA
IKUNGI
UNYAHATI
MAHAMBE

403

SINGIDA
IKUNGI
UNYAHATI
MATARE

404

SINGIDA
IKUNGI
UNYAHATI
UNYAHATI

405

SINGIDA
IKUNGI
UNYAHATI
ULYAMPITI

406

SINGIDA
SINGIDA MC
MUGHANGA
NYERERE

407

SINGIDA
SINGIDA MC
MUGHANGA
MUGHANGHA

408

SINGIDA
SINGIDA MC
MUGHANGA
UPENDO PEKEE  AWALI

409

SINGIDA
SINGIDA MC
MUNGUMAJI
KITITIMO

410

SINGIDA
SINGIDA MC
MUNGUMAJI
MUNGUMAJI

411

SINGIDA
SINGIDA MC
MUNGUMAJI
SOMOKU

412

SINGIDA
SINGIDA MC
MITUNDURUNI
SINGIDANI

413

SINGIDA
SINGIDA MC
MITUNDURUNI
UNYANKINDI

414

SINGIDA
SINGIDA MC
MITUNDURUNI
MANGUAMITOGHO

415

SINGIDA
SINGIDA MC
MITUNDURUNI
GHATI MEMORIAL

416

SINGIDA
SINGIDA MC
MANDEWA
UNYAKUMI

417

SINGIDA
SINGIDA MC
MANDEWA
UNYINGA

418

SINGIDA
SINGIDA MC
MANDEWA
MANGUANJUKI

419

SINGIDA
SINGIDA MC
MANDEWA
UNYANKHAE

420

SINGIDA
SINGIDA MC
MANDEWA
MWAJA

421

SINGIDA
SINGIDA MC
MANDEWA
AL-WAFAA

422

SINGIDA
SINGIDA MC
MANDEWA
LAKE

423

SINGIDA
SINGIDA MC
MANDEWA
MAASAI

424

SINGIDA
SINGIDA MC
MANDEWA
ABETI

425

SINGIDA
SINGIDA MC
MANDEWA
UPENDO

426

SINGIDA
SINGIDA MC
MANDEWA
MAEMAK

427

SINGIDA
SINGIDA MC
MANDEWA
MUGHENYI

428

SINGIDA
SINGIDA MC
MAJENGO
UKOMBOZI

429

SINGIDA
SINGIDA MC
MTAMAA
MTAMAA

430

SINGIDA
SINGIDA MC
MTAMAA
MTISI

431

SINGIDA
SINGIDA MC
MTAMAA
KIMAI

432

SINGIDA
SINGIDA MC
MTAMAA
ARAFAH

433

SINGIDA
SINGIDA MC
MISUNA
MISUNA

434

SINGIDA
SINGIDA MC
MISUNA
KIMPUNGUA

435

SINGIDA
SINGIDA MC
MISUNA
UNITE   AWALI

436

SINGIDA
SINGIDA MC
MISUNA
EDEN     AWALI

437

SINGIDA
SINGIDA MC
MISUNA
MISUNA ISLAMIC     AWALI

438

SINGIDA
SINGIDA MC
MISUNA
TUMAINI VIZIWI

439

SINGIDA
SINGIDA MC
MINGA
MINGA

440

SINGIDA
SINGIDA MC
MINGA
AL-FURQAAN

441

SINGIDA
SINGIDA MC
MINGA
MNUNG'UNA

442

SINGIDA
SINGIDA MC
MWANKOKO
MWANKOKO

443

SINGIDA
SINGIDA MC
MWANKOKO
ISOMIA

444

SINGIDA
SINGIDA MC
MWANKOKO
MAKUNGU

445

SINGIDA
SINGIDA MC
MTIPA
MTIPA

446

SINGIDA
SINGIDA MC
MTIPA
MANGA

447

SINGIDA
SINGIDA MC
MTIPA
MWEMBEMOJA

448

SINGIDA
SINGIDA MC
MTIPA
NYUNJWI

449

SINGIDA
SINGIDA MC
KINDAI
KIBAONI

450

SINGIDA
SINGIDA MC
KINDAI
MAHEMBE

451

SINGIDA
SINGIDA MC
KINDAI
FPCT KIBAONI      AWALI

452

SINGIDA
SINGIDA MC
KINDAI
FUNDAH

453

SINGIDA
SINGIDA MC
KINDAI
KINDAI

454

SINGIDA
SINGIDA MC
KISAKI
KISAKI

455

SINGIDA
SINGIDA MC
KISAKI
IKENGA

456

SINGIDA
SINGIDA MC
KISAKI
NG'AIDA

457

SINGIDA
SINGIDA MC
IPEMBE
IPEMBE

458

SINGIDA
SINGIDA MC
IPEMBE
SUMAYE

459

SINGIDA
SINGIDA MC
UNYAMIKUMBI
UYAMIKUMBI

460

SINGIDA
SINGIDA MC
UNYAMIKUMBI
UGHAUGHA

461

SINGIDA
SINGIDA MC
UNYAMIKUMBI
KIHADE

462

SINGIDA
SINGIDA MC
UNYAMIKUMBI
SUNDU

463

SINGIDA
SINGIDA MC
UNYAMBWA
UNYAMBWA

464

SINGIDA
SINGIDA MC
UNYAMBWA
IPUNGI

465

SINGIDA
SINGIDA MC
UNYAMBWA
KISASIDA

466

SINGIDA
SINGIDA MC
UNYAMBWA
MANGUAMPUGHU

467

SINGIDA
SINGIDA MC
UNYAMBWA
JANUKA

468

SINGIDA
SINGIDA MC
UNYAMBWA
NURU ISLAMIC

469

SINGIDA
SINGIDA MC
UNYIANGA
UNYIANGA

470

SINGIDA
SINGIDA MC
UNYIANGA
JUDEA

471

SINGIDA
SINGIDA MC
UHAMAKA
ITITI

472

SINGIDA
SINGIDA MC
UHAMAKA
UHAMAKA

473

SINGIDA
SINGIDA MC
UHAMAKA
MALAIKA WA- MATUMAINI

474

SINGIDA
SINGIDA MC
UTEMINI
UTEMINI

475

SINGIDA
SINGIDA MC
UTEMINI
SABASABA

476

SINGIDA
SINGIDA MC
UTEMINI
HOSANA    AWALI

477

SINGIDA
SINGIDA MC
UTEMINI
BOMANI

478

SINGIDA
ITIGI
AGHONDI
AGHONDI

479

SINGIDA
ITIGI
ITIGI MAJENGO
BANGAYEGA

480

SINGIDA
ITIGI
IPANDE
DAMWELU

481

SINGIDA
ITIGI
KITARAKA
DOROTO

482

SINGIDA
ITIGI
ITIGI MJINI
FURAHA

483

SINGIDA
ITIGI
SANJARANDA
GURUNGU

484

SINGIDA
ITIGI
KITARAKA
IBUMBIDA

485

SINGIDA
ITIGI
IDODYANDOLE
IDODYANDOLE

486

SINGIDA
ITIGI
IDODYANDOLE
IFUMBUKA

487

SINGIDA
ITIGI
MITUNDU
IPALALYU

488

SINGIDA
ITIGI
IPANDE
IPANDE

489

SINGIDA
ITIGI
IDODYANDOLE
IPANGAMASASI

490

SINGIDA
ITIGI
KITARAKA
IPUNGULI

491

SINGIDA
ITIGI
MITUNDU
ISANJANDUGU

492

SINGIDA
ITIGI
MITUNDU
ISINGIWE

493

SINGIDA
ITIGI
RUNGWA
ITAGA

494

SINGIDA
ITIGI
MGANDU
ITAGATA

495

SINGIDA
ITIGI
ITIGI MJINI
ITIGI

496

SINGIDA
ITIGI
MWAMAGEMBE
ITUMBA

497

SINGIDA
ITIGI
SANJARANDA
IWELEWELE

498

SINGIDA
ITIGI
IDODYANDOLE
JEJE

499

SINGIDA
ITIGI
KITARAKA
KAHOMWEE

500

SINGIDA
ITIGI
KALANGALI
KALANGALI

501

SINGIDA
ITIGI
AGHONDI
KAMENYANGA

502

SINGIDA
ITIGI
IDODYANDOLE
KASHANGU

503

SINGIDA
ITIGI
MGANDU
KAYUI

504

SINGIDA
ITIGI
KITARAKA
KAZIKAZI

505

SINGIDA
ITIGI
KITARAKA
KAZIKAZI STESHENI

506

SINGIDA
ITIGI
TAMBUKARELI
KIHANJU

507

SINGIDA
ITIGI
MWAMAGEMBE
KINTANULA

508

SINGIDA
ITIGI
MITUNDU
KIPERA

509

SINGIDA
ITIGI
MITUNDU
KISESA

510

SINGIDA
ITIGI
KITARAKA
KITARAKA

511

SINGIDA
ITIGI
SANJARANDA
KITOPENI

512

SINGIDA
ITIGI
RUNGWA
KUDEMA

513

SINGIDA
ITIGI
MGANDU
LULANGA

514

SINGIDA
ITIGI
AGHONDI
MABONDENI

515

SINGIDA
ITIGI
MITUNDU
MAENDELEO

516

SINGIDA
ITIGI
MITUNDU
MAHINYA

517

SINGIDA
ITIGI
MITUNDU
MAKALE

518

SINGIDA
ITIGI
MITUNDU
MANYANYA

519

SINGIDA
ITIGI
KALANGALI
MASIMBA

520

SINGIDA
ITIGI
MWAMAGEMBE
MATUMAINI

521

SINGIDA
ITIGI
IDODYANDOLE
MBUGANI

522

SINGIDA
ITIGI
IPANDE
MGAMBOO

523

SINGIDA
ITIGI
MGANDU
MGANDU

524

SINGIDA
ITIGI
MWAMAGEMBE
MIKESE

525

SINGIDA
ITIGI
MITUNDU
MITUNDU

526

SINGIDA
ITIGI
MITUNDU
MITUNDU B

527

SINGIDA
ITIGI
TAMBUKARELI
MJI MPYA

528

SINGIDA
ITIGI
IPANDE
MKAJENGA

529

SINGIDA
ITIGI
ITIGI MJINI
MLONGOJII

530

SINGIDA
ITIGI
ITIGI MAJENGO
MLOWA

531

SINGIDA
ITIGI
KALANGALI
MNAZI MMOJA

532

SINGIDA
ITIGI
IPANDE
MUHANGA

533

SINGIDA
ITIGI
KITARAKA
MWAKITANDA

534

SINGIDA
ITIGI
MWAMAGEMBE
MWAMAGEMBE

535

SINGIDA
ITIGI
MGANDU
MWAMATIGA

536

SINGIDA
ITIGI
MWAMAGEMBE
NGILIMALOLE

537

SINGIDA
ITIGI
MGANDU
NG'ONGOSOLO

538

SINGIDA
ITIGI
AGHONDI
NJIRII

539

SINGIDA
ITIGI
RUNGWA
NKAWA

540

SINGIDA
ITIGI
TAMBUKARELI
PENTAGON

541

SINGIDA
ITIGI
RUNGWA
RUNGWA

542

SINGIDA
ITIGI
SANJARANDA
SANJARANDA

543

SINGIDA
ITIGI
KALANGALI
TULIENI

544

SINGIDA
ITIGI
MGANDU
USESWANONI

545

SINGIDA
ITIGI
ITIGI MJINI
ITIGI RELI

546

SINGIDA
ITIGI
SANJARANDA
MARAN ATHA

547

SINGIDA
ITIGI
ITIGI MAJENGO
ST. AUGUSTINE

548

SINGIDA
ITIGI
ITIGI MAJENGO
ST. FRANCIS XAVIER

549

SINGIDA
ITIGI
MITUNDU
ST. VINCENT

550

SINGIDA
SINGIDA DC
IKHANODA
IKHANODA

551

SINGIDA
SINGIDA DC
IKHANODA
KISISI

552

SINGIDA
SINGIDA DC
IKHANODA
MSIMIHI

553

SINGIDA
SINGIDA DC
ILONGERO
ILONGERO

554

SINGIDA
SINGIDA DC
ILONGERO
MADAMIGHA

555

SINGIDA
SINGIDA DC
ILONGERO
MWAHANGO

556

SINGIDA
SINGIDA DC
ILONGERO
MWAKABIJI

557

SINGIDA
SINGIDA DC
ILONGERO
SEKOUTOURE

558

SINGIDA
SINGIDA DC
ILONGERO
AL FAROUQ

559

SINGIDA
SINGIDA DC
ITAJA
GAIRU

560

SINGIDA
SINGIDA DC
ITAJA
ITAJA

561

SINGIDA
SINGIDA DC
ITAJA
KINYAMWENDA

562

SINGIDA
SINGIDA DC
ITAJA
SAGARA

563

SINGIDA
SINGIDA DC
ITAJA
GENEZARETH

564

SINGIDA
SINGIDA DC
KIJOTA
IDANG'ADU

565

SINGIDA
SINGIDA DC
KIJOTA
IKIWU

566

SINGIDA
SINGIDA DC
KIJOTA
KIJOTA

567

SINGIDA
SINGIDA DC
KIJOTA
MUNKWAE

568

SINGIDA
SINGIDA DC
KIJOTA
MWANGAE

569

SINGIDA
SINGIDA DC
KINYAGIGI
KAMBARAGE

570

SINGIDA
SINGIDA DC
KINYAGIGI
KIHUNADI

571

SINGIDA
SINGIDA DC
KINYAGIGI
KINYAGIGI

572

SINGIDA
SINGIDA DC
KINYAGIGI
MITULA

573

SINGIDA
SINGIDA DC
KINYAGIGI
MWAMENYA

574

SINGIDA
SINGIDA DC
KINYETO
KINYETO

575

SINGIDA
SINGIDA DC
KINYETO
MKIMBII

576

SINGIDA
SINGIDA DC
KINYETO
NTUNDUU

577

SINGIDA
SINGIDA DC
MAGHOJOA
GHATA

578

SINGIDA
SINGIDA DC
MAGHOJOA
KIDAGHAU

579

SINGIDA
SINGIDA DC
MAGHOJOA
MIPILO

580

SINGIDA
SINGIDA DC
MAGHOJOA
MWACHAMBIA

581

SINGIDA
SINGIDA DC
MAKURO
GHALUNYANGU

582

SINGIDA
SINGIDA DC
MAKURO
MAKURO

583

SINGIDA
SINGIDA DC
MAKURO
MATUMBO

584

SINGIDA
SINGIDA DC
MAKURO
MIKUYU

585

SINGIDA
SINGIDA DC
MAKURO
MKENGE

586

SINGIDA
SINGIDA DC
MAKURO
MWALALA

587

SINGIDA
SINGIDA DC
MAKURO
NG'ONGOAMPOKU

588

SINGIDA
SINGIDA DC
MAKURO
DIAGWA

589

SINGIDA
SINGIDA DC
MERYA
KINYAMWAMBO

590

SINGIDA
SINGIDA DC
MERYA
MERYA

591

SINGIDA
SINGIDA DC
MERYA
MVAE

592

SINGIDA
SINGIDA DC
MGORI
MGORI

593

SINGIDA
SINGIDA DC
MGORI
MUNKHOLA

594

SINGIDA
SINGIDA DC
MGORI
MWAMBA

595

SINGIDA
SINGIDA DC
MRAMA
ITAMKA

596

SINGIDA
SINGIDA DC
MRAMA
MAKHANDI

597

SINGIDA
SINGIDA DC
MRAMA
MRAMA

598

SINGIDA
SINGIDA DC
MRAMA
MWAKITI

599

SINGIDA
SINGIDA DC
MSANGE
ENDESH

600

SINGIDA
SINGIDA DC
MSANGE
JANGWA

601

SINGIDA
SINGIDA DC
MSANGE
MANGIDA

602

SINGIDA
SINGIDA DC
MSANGE
MSANGE

603

SINGIDA
SINGIDA DC
MSANGE
MUMBII

604

SINGIDA
SINGIDA DC
MSANGE
SEFUNGA

605

SINGIDA
SINGIDA DC
MSISI
MNUN'GUNA

606

SINGIDA
SINGIDA DC
MSISI
MSISI

607

SINGIDA
SINGIDA DC
MSISI
NKWAE

608

SINGIDA
SINGIDA DC
MSISI
NTONDO

609

SINGIDA
SINGIDA DC
MTINKO
KAFANABO

610

SINGIDA
SINGIDA DC
MTINKO
MALOLO

611

SINGIDA
SINGIDA DC
MTINKO
MINYENYE

612

SINGIDA
SINGIDA DC
MTINKO
MPAMBAA

613

SINGIDA
SINGIDA DC
MTINKO
MTINKO

614

SINGIDA
SINGIDA DC
MTINKO
MUUNGANO

615

SINGIDA
SINGIDA DC
MTINKO
MWAKICHENCHE

616

SINGIDA
SINGIDA DC
MTINKO
NDUGHWIRA

617

SINGIDA
SINGIDA DC
MTINKO
ST. CHARLES BORROMEUS

618

SINGIDA
SINGIDA DC
MUDIDA
MIGUGU

619

SINGIDA
SINGIDA DC
MUDIDA
MPIPITI

620

SINGIDA
SINGIDA DC
MUDIDA
MUDIDA

621

SINGIDA
SINGIDA DC
MUDIDA
MULUMPU

622

SINGIDA
SINGIDA DC
MUDIDA
KISUTU

623

SINGIDA
SINGIDA DC
MUGHAMO
MSIKII

624

SINGIDA
SINGIDA DC
MUGHAMO
MUGHAMO

625

SINGIDA
SINGIDA DC
MUGHAMO
SONGA

626

SINGIDA
SINGIDA DC
MUGHUNGA
MAPINDUZI

627

SINGIDA
SINGIDA DC
MUGHUNGA
MUGHUNGA

628

SINGIDA
SINGIDA DC
MUGHUNGA
MUKULU

629

SINGIDA
SINGIDA DC
MUGHUNGA
NDUAMUGHANGA

630

SINGIDA
SINGIDA DC
MWASAUYA
AZIMIO

631

SINGIDA
SINGIDA DC
MWASAUYA
MDILU

632

SINGIDA
SINGIDA DC
MWASAUYA
MWASAUYA

633

SINGIDA
SINGIDA DC
MWASAUYA
NGAMU

634

SINGIDA
SINGIDA DC
MWASAUYA
SOKOINE

635

SINGIDA
SINGIDA DC
NGIMU
LAMBA

636

SINGIDA
SINGIDA DC
NGIMU
MISSUNA

637

SINGIDA
SINGIDA DC
NGIMU
MWIGHANJI

638

SINGIDA
SINGIDA DC
NGIMU
NGARAMTONI

639

SINGIDA
SINGIDA DC
NGIMU
NGIMU

640

SINGIDA
SINGIDA DC
NGIMU
POHAMA

641

SINGIDA
SINGIDA DC
NTONGE
IFOMBOU

642

SINGIDA
SINGIDA DC
NTONGE
IGAURI

643

SINGIDA
SINGIDA DC
NTONGE
SONGAMBELE

644

SINGIDA
SINGIDA DC
UGHANDI
IKUMESE

645

SINGIDA
SINGIDA DC
UGHANDI
LAGHANIDA

646

SINGIDA
SINGIDA DC
UGHANDI
MFUMBU

647

SINGIDA
SINGIDA DC
UGHANDI
MISINKO

648

SINGIDA
SINGIDA DC
UGHANDI
MJURA

649

SINGIDA
SINGIDA DC
UGHANDI
MUHUVI

650

SINGIDA
SINGIDA DC
UGHANDI
SEMFURU

651

SINGIDA
SINGIDA DC
UGHANDI
UGHANDI
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA KITAALUMA MKOA WA SINGIDA

    KWA MWAKA 2022.

    • Utangulizi
  • Mkoa wa Singida una jumla ya Shule za Msingi 687; kati ya hizo, Shule za Serikali ni 610 na za Binafsi 77. Aidha, kuna Shule za Sekondari 170 zikujumuisha Shule 145 za Serikali na Shule 25 za Binafsi. Vilevile Mkoa una Taasisi 10 za Elimu ya juu kati yake 1 zipo chini ya Kamisheni ya Vyuo Vikuu (TCU); 8 zipo chini ya Mamlaka ya Elimu na Ufundi (NACTE); na 1 ipo chini ya Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA).


    IDADI YA SHULE ZA MKOA WA SINGIDA 

    1. SHULE ZA SERIKALI.

    NA 

    HALMASHAURI
    SHULE MSINGI
    SHULE  SEKONDARI

    1

    IRAMBA

    105

    23

    2

    MKALAMA

    93

    19

    3

    SINGIDA DC

    98

    26

    4

    SINGIDA MC

    53

    18

    5

    IKUNGI

    129

    32

    6

    ITIGI

    64

    11

    7

    MANYONI

    68

    16

    JUMLA 

    610

    145

    2. SHULE ZA AWALI NA MSINGI ZA BINAFSI 

    NA 

    HALMASHAURI
    SHULE MSINGI
    SHULE  SEKONDARI

    1

    IRAMBA

    3

    2

    2

    MKALAMA

    2

    1

    3

    SINGIDA DC

    3

    4

    4

    SINGIDA MC

    18

    8

    5

    IKUNGI

    4

    6

    6

    ITIGI

    3

    1

    7

    MANYONI

    5

    3

    JUMLA 

    77

    25

    JUMLA YA SHULE ZOTE 

    187

    170

    3. TAASISI ZA ELIMU YA JUUU
    KAMISHENI YA VYUO VIKUU (TCU)

    1

    MAMLAKA YA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)

    8

    MAMLAKA YA UFUNDI STADI (VETA )

    1

    JUMLA YA TAASISI ZA ELIMU YA JUU

    10


    Maendeleo ya Elimu katika Mkoa wa Singida yamekuwa yakiimarika mwaka hadi mwaka ikiwa  ni pamoja na kuboreshwa kwa miundombinu shuleni,  kuanzishwa kwa Shule za Binafsi na za Serikali na pamoja na kuongezeka kwa asilimia za ufaulu katika Mitihani ya Taifa.

    • Hali ya Udahili wa Wanafunzi:
  • Idadi ya Wanafunzi kwa Shule za Msingi 2022

    Mkoa una Jumla ya wanafunzi 434,925 kati ya hao wavulana ni 217,132 na wasichana ni 217,793 ambao wameandikishwa katika Shule zote ndani ya Mkoa. Aidha katika Elimu nje ya mfumo rasimi kuna jumla ya wanafunzi 913 kati ya hao wakiume ni 479 na wakike ni 434. Upande wa Elimu ya watu wazima Mkoa unajumla Wanaume 6,905 na Wanawake 9,221 na kufanya jumla ya wanafunzi 16,126.

    Hali ya utoaji wa Taaluma:

    Mkoa wa Singida kitaaluma umeendelea kuimarika siku hadi siku jambo linaloonesha maendeleo ya kielimu ndani ya Mkoa. Hii inajidhihirisha kwa kuangalia matokeo ya mwaka 2021.

    Matokeo ya Mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) mwaka 2021

    Mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (PSLE) mwaka 2021 ulifanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 08 - 09/09/2021.  Masomo yaliyotahiniwa yalikuwa sita (6) ambayo ni Kiswahili, English Language, Maarifa ya Jamii, Hisabati, Sayansi na Uraia na Maadili. Mkoa wa Singida ulikuwa na jumla ya shule 547 zilizofanya Mtihani huu ambapo Shule za Serikali zilikuwa 530 na binafsi 17.

    Idadi ya wanafunzi waliofaulu kwenye Mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2021

    Jumla wa wanafunzi 28,072 wakiwemo wavulana 15,053 na wasichana 15,019 wamefaulu Mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2021 kati ya wanafunzi 35,773 waliofanya Mtihani. Mwaka 2020 idadi ya wanafunzi waliofaulu ilikuwa 23,785 hivyo kuwa na ongezeko la wanafunzi waliofaulu 1,288 kwa kulinganisha mwaka 2021 na 2020.

    Asilimia ya Ufaulu ngazi ya Mkoa

    Matokeo yanaonesha asilimia ya ufaulu wa Mkoa umepanda kutoka asilimia 71.79 ya mwaka 2020 hadi asilimia 78.9 ambapo ufaulu huu umepanda kwa asilimia 7.11

    Matokeo ya Kidato cha IV 2021

    Jumla wa wanafunzi 12,314 wakiwemo wavulana 5,432 na wasichana 6,880 wamefaulu Mtihani Kidato cha Nne 2021 kati ya wanafunzi 12,314 waliofanya Mtihani. Mwaka 2021 idadi ya wanafunzi waliofaulu ilikuwa 10,748 sawa na asilimia 87.28. Ufaulu huu umeshuka ukilinganisha na ufaulu wa mwaka 2020 ambapo asilimia ya ufaulu ilikuwa 89.20.

    Matokeo ya Kidato cha Sita 

    Mkoa wa Singida unajumla ya shule 15 zilizofanya Mtihani wa Kidato cha Sita mwaka 2021 jumla ya watahiniwa 1,649 walifanya Mtihani ambapo watahiniwa 1,648 walifaulu sawa na asilimia 99.9. na mwaka 2022  Jumla ya watahiniwa 1,612 walifanya Mtihani na 1,612 walifaulu sawa na asilimia 100. 

    SEKSHENI YA ELIMU

    Seksheni hii ina lengo la kusaidia au kuwezesha utoaji huduma za uendelezaji wa Elimu ikijumuisha usimamizi wa Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari, Elimu ya watu wazima na inayotolewa katika mfumo usio rasmi  na Mitihani ya Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu.

    Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi (Afisa Elimu wa Mkoa) ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.

    Majukumu ya Seksheni ya Huduma za Elimu

    • Kuratibu Uongozi wa shule za awali, Msingi, Sekondari, Elimu ya Watu Wazima na Elimu nje ya mfumo rasmi
    • Kuratibu ajira na usambazaji wa walimu wa shule za Awali, Msingi na Sekondari katika Mkoa.
    • Kuratibu utekelezaji wa sera za Elimu na mafunzo ya ufundi ndani ya Mkoa na kutoa Ushauri kadiri inavyohitajika.
    • Kusimamia Mitihani ya Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu katika Mkoa.
    • Kuratibu Ukusanyaji, Tathimini, Uunganishaji/Uandaaji, Kutafsiri na Kutoa Taarifa/Takwimu za Elimu na Mafunzo ya ufundi katika Mkoa.
    • Kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa taarifa za ukaguzi
    • Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya utekelezaji wa sera ya Utamaduni na Michezo
    • Kuratibu shughuli zinazohusiana na Michezo katika Mkoa na kuendesha mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA Mkoani.


Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.