TEHAMA
Kitengo Cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano lengo lake kuu ni kutoa huduma za kitaalam kuhusiana na matumizi ya Teknolojia ya habari na mawasiliano kwa Sekretarieti ya Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Aidha Kitengo hiki kinaongozwa na Afisa TEHAMA Mkuu ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.
Majukumu ya Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
SINGIDA
Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA
Telephone: 2502170, 2502089
Mobile: 2502170, 2502089
Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz
Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.