• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Infrustructure

UJENZI WA DARAJA LA SIBITI (mita 82) - TANROADS

Daraja la Sibiti liko mpakani mwa Mikoa ya Singida na Simiyu, katika mto Sibiti kwenye barabara ya Mkoa ya Ulemo – Gumanga – Sibiti (km 76). Mradi huu ulihusisha ujenzi wa daraja lenye urefu wa meta 82 na barabara za maingilio ya changarawe (approach roads) zenye urefu wa km 25 kutokea Chemchem hadi Kijiji cha Bukundi Mkoa wa Simiyu. Mradi uligharamiwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia 100. Gharama ya mradi ni Shilingi 28,511,511,000.00. Kazi za ujenzi ilikamilika tangu mwezi  Machi, 2019. Katika mwaka wa fedha 2021/2022, Serikali ilitenga jumla ya Shilingi 2,500.000milioni kwa ajili ya kuanza ujenzi wa barabara za maingilio ya daraja la mto Sibiti km 25 kwa kiwango cha lami, ikiwa upande wa Bukundi km 5 na upande wa Singida km 20.

 

DARAJA LA MSINGI -TANROADS

Muonekano wa daraja la baada ya kukamilika kwa kazi ya kumwaga lami nyepezi katika barabara za maingilio ya daraja. Daraja hili lina urefu mita 75. Barabara za maingilio zina urefu wa kilomita 1 ambayo ni sawa na mita 500 kila upande wa kuingia darajani. Daraja hili limegharimu shilingi za kitanzania 9,002,573,250.00 kazi bado haija kamilika lakini ipo katika hatua za mwisho.

Daraja hili linaunganisha barabra itokayo Dar es salaam kwenda Mwanza na Barabara itokayo Iguguno kwenda Nduguti - Gumanga - Ibaga – Bukundi hadi Simiyu.

DARAJA LA MAWE MSINGI - TARURA

Daraja hili lilijengwa mwaka 2018, liligharimu shilingi za kitanzania 250,000,000.00 linaunganisha Tarafa ya Nduguti na Tarafa ya Kinampanda, pia linawezesha njia ya mchepuko kutoka Nduguti kupitia Isinshi na baadae kufika kijiji cha Msingi, barabara hii hutumika pale ambapo mtu anayetoka Kinampanda hataki kufika Gumanga. Mradi huu umetekelezwa na TARURA kwa gharama ya shilingi za kitanzania 222,988,954.00. Daraja lina urefu wa mita 45, upana mita 8 na midomo 4.

DARAJA LA MAWE ENDASIKU - TARURA

Daraja hili ni mradi unaotekelezwa na TARURA. Baada ya matokeo mazuri ya daraja la mawe Msingi TARURA Singida imeongeza ujenzi wa vivuko vya mawe katika Mkoa wa Singida. Kwakuwa Mkoa wa Singida umebarikiwa kuwa na mawe mengi.  Daraja la Endasiku lina urefu mita 30, upana mita 7 na lina midomo 4, limegharimu shilingi za kitanzania 156,601,000.00 linaunganisha kijiji cha Endasiku, Nyahaa, Matala na Mwengeza.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.