FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA CORONA.pdf
Ugonjwa huu huenezwa kwa kuingiwa na majimaji yatokayo kwenye njia ya hewa wakati mtu mwenye ugonjwa huu anapokohoa au kupiga chafya, njia nyingine ya maambukizi ni kwa kugusa majimaji yanayotoka puani (kamasi) na kisha kujigusa machoni, mdomoni au puani.
SINGIDA
Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA
Telephone: 2502170, 2502089
Mobile: 2502170, 2502089
Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz
Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.