• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Ikungi District

UTANGULIZI:

Wilaya ya Ikungi ni miongoni mwa Wilaya tano (5) zilizopo Mkoa wa Singida.  Wilaya hii iliundwa mnamo tarehe 02 Machi, 2012 kupitia Tangazo katika Gazeti la Serikali GN. Na. 73.

 

ENEO LA GEOGRAPHIA:

Wilaya ya Ikungi ina ukubwa wa Km2 8860 Wilaya ya Ikungi ipo kati ya Nyuzi 40 na 60 Latitudo Kusini mwa Ikweta, Nyuzi 340 na 350 ya Ikungi kupata mvua wastani wa mm 600-700 kwa mwaka na joto kati ya 150c - 300c.

Wilaya ya Ikungi inapakana na Wilaya ya Uyui (Mkoa wa Tabaora) upande wa Magharibi, Wilaya ya Singida Upande wa Kaskazini Wilaya ya Iramba upande wa Kaskazini Magharibi, Wilaya ya Manyoni upande wa Kusini na Wilaya ya Chemba upande wa Kusini Mashariki.

SHUGHULI ZA KIUCHUMI:

Wananchi wa Wilaya ya Ikungi hujishughulisha na shughuli za Kilimo, Ufugaji, uchimbaji wa Madini hasa dhahabu na Almasi, Biashara pamoja na Uvuvi.

UTAWALA:

Wilaya ya Ikungi ina Halmashauri moja ya Wilaya, Majimbo Mawili ya Uchaguzi, Jimbo la Singida Mashariki na Jimbo la Singida Magharibi, Tarafa 4 za Mungaa, Ikungi, Ihanja na Sepuka pamoja na Kata 28, Vijiji 101 na Vitongoji 5389.

UONGOZI:

Wilaya ya Ikungi inaongozwa na Mkuu wa Wilaya akisaidiwa na Katibu Tawala wa Wilaya.  Mkuu wa Wilaya wa sasa anaitwa Mhe. Jerry C. Muro na Katibu Tawala anaitwa Bi. Winfrida E. Funto.

ORODHA YA WAKUU WA WILAYA WALIOONGOZA IKUNGI:

  • Jerry C. Muro                    -                   Juni 2021 hadi Sasa
  • Edward l. Mpogolo             -                   Julai 2019 – Juni 2021
  • Miraji J. Mtaturu                 -                   Juni 2016 – Julai 2019
  • Gishuli M. Charles             -                   Februari 2015 – Juni 2016
  • Manju S. Msambya            -                   Mei 2012 – Februari 2015

ORODHA YA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA WALIOFANYA KAZI IKUNGI

  • Bi. Winfrida E. Funto          -                   2018 hadi sasa
  • Bw. Daudi I. Hungu            -                   2013 – 2016

 

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.