• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Dira na Dhima


 Dira

“Kuwa Taasisi ya Mfano nchini kwa kutoa huduma bora katika kushauri masuala ya kiuchumi na kijamii kwa wadau wake wote”.

 Dhima

“Kufikia maendeleo endelevu ya Mkoa kwa kutoa Ushauri wa kitaalamu kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na wadau wengine”.


Majukumu ya Sekretarieti ya Mkoa

Kutafsiri sera,kuzijengea uwezo na kuzisaidia serikali za mitaa kutekeleza majukumu yake ya kijamii na kiuchumi na huduma za maendeleo na kuhakikisha kuwa kuna amani a utulivu katika mkoa.


Wajibu na Kazi

Wajibu na kazi za Sekreatarieti ya Mkoa ni nyingi na zimekasmiwa kwa kila Klasta na Kitengo (section and Unit) .Kwa ujumla jukumu kubwa linalenga kumsaidia mkuu wa mkoa kama ifuatavyo:-


1.Kutekeleza kazi za serikali ndani ya Mkoa.
2.Kusimamia utawala wa sheria mkoani
3.Kutoa mwelekeo wa jitihada katika kutekeleza sera mbalimbali mkoani.
4.Kuzishauri, kuzisimamia na kuzisaidia Serikali za mitaa kutekeleza mipango yake kwa lengo la kuleta maendeleo na kuodoa umaskini.
5.Kutekeleza kazi na majukumu mengine ya RS ya kisheria.


Majukumu ya kimaendeleo yanajumuisha usimamizi na tathmini,uwezo wa kiutawala wa kutekeleza kutoa huduma.Tathmini ya utoaji huduma inajikita kwenye kufikiwa kwa malengo na matokeo ya malengo hayo katika jamii.
 Majukumu ya kiutawala yana sehemu kuu tatu:-

1. Kulinda amani na utulivu katika mkoa ili wananchi watekeleze majukumu yao.
2. Kuziwezesha na Kuzisaidia Serikali za mitaa katika mkoa kutekeleza majukumu yake kwa kuzijengea mazigira bora ya kutekeleza     majukumu na wajibu wake.
3. Kuiwakilisha serikali kuu katika Mkoa.


Majukumu ya kisera ya Mkoa ni pamoja na:

  • Kuhakikisha kuwa kuna hali ya  amani na utulivu Mkoani.
  • Kujenga na kuimarisha demokrasia  na utawala bora.
  • Kusimamia hifadhi ya mazingira na
  • Kusimamia vita dhidi ya UKIMWI na  Rushwa

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT.SAMIA WABISHA HODI SINGIDA

    April 23, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.