• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Chanzo kutoka tovuti ya TAMISEMI: PROF. SHEMDOE AZINYOOSHEA KIDOLE HALMASHAURI 8 KWA KUTOKUTENGE FEDHA ZA LISHE

Posted on: May 30th, 2022

Chanzo kutoka tovuti ya TAMISEMI:

 

PROF. SHEMDOE AZINYOOSHEA KIDOLE HALMASHAURI 8 KWA KUTOKUTENGE FEDHA ZA LISHE

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Prof. Riziki Shemdoe amezinyooshe kidole halmashauri 8 ambazo hazijatenga fedha kwa ajili ya utekelezaji wa afua za Lishe kwa mwaka wa fedha 2020/21.

Amezitaja Halmashauri hizo kuwa ni Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, Halmashauri ya Mji Musoma, Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe, Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, Halmashauri ya Momba na Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga.

“Naagiza Wakurugenzi wa Halmashauri hizo kuhakikisha wanatenga fedha hizo kabla ya kufunga mwaka wa fedha 2021/22 kwa kuwa wamekiuka mkataba uliwekwa na Serikali wa Kuhakikisha fedha hizo zinatengwa kwa wakati ili kupunguza utapia mlo nchini” amesisitiza Prof.Shemdoe

Akifungua kikao cha kujadili utekelezaji wa Mkataba wa afua za lishe nchini kilichowashirikisha Waganga wakuu wa Mikoa, Maafisa lishe wa Mkoa na wadau wa lishe leo tarehe 25 MEI, 2022 amesema kila Halmashauri inawajibu wa kutenga kiasi cha shilingi 1000 kwa kila mtoto aliye chini ya umri wa miaka mitano kwa ajili ya afua za lishe kama mkataba ulivyoelekeza.

Prof. Shemdoe amesema kuwa utengaji na upelekaji wa fedha za afua za lishe ni moja ya kigezo kitakachotumika kuwapima Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini lengo likiwa ni kuhakikisha tunaondokana na tatizo la utapia mlo nchini.

Aidha, amewaagiza Waganga wakuu wa Mikoa wote nchini kuhakikisha wanashiriki, kusimamia na kufuatilia miradi inayotekelezwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuwa kunachangamoto ya ukamilishaji wa miradi ya afya.

Akielezea kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali kuhusu utekelezaji wa afua za lishe nchini Prof Shemdoe amesema Serikali inaendelea kusimamia uandaaji wa mpango wa bajeti za Halmashauri ili zitenge na kutumia shilingi 1000 kwa kila mtoto kwa kuwa ni moja ya kiashiria lichoonyeshwa kwenye mkataba wa afua za lishe nchini.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.