• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

DKT. HUSSEIN MWINYI ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UJENZI INAYOTEKELEZWA NA SUMA JKT MKOANI SINGIDA

Posted on: October 23rd, 2018

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. HUSSEIN MWINYI amewagiza watendaji wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa - SUMA JKT - kukamilisha ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotelezwa na shirika hilo kwa viwango vinavyotakiwa ili majengo hayo yaanze kutumika haraka kwa ajili ya kutoa huduma kwa wananchi kwa muda muafaka.

Waziri Dkt. Mwinyi ametoa kauli hiyo mjini Singida wakati akikagua miradi inayotekelezwa na SUMA JKT ikiwemo ukarabati wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Singida, ujenzi wa nyumba ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida na Ujenzi wa Jengo la Kuhifadhi Maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida iliyopo Mandewa na kuonesha kuridhishwa na utekelezaji wa miradi hiyo. "Nimeridhika kwa kiwango kikubwa na kiwango cha ujenzi na spidi inayoendelea na washitili  wetu ambao ni Mkoa nao wameridhika kwa hatua nzuri za ujenzi zinavyokwenda vizuri na kwa kiwango kizuri, kwahiyo tunashukuru kwahilo. Lakini nia na madhumini ya ziara hii ni kuja kuangalia kwa ujumla kazi zinazofanywa na kampuni yetu ya SUMA na kiwango cha kazi wanazozifanya pamoja na endapo washitili (wateja) wetu wanaridhika na kazi zetu ili tuweze kutatua zile changamoto ambazo zinawakabili na kama kuna mafanikio basi  tuweze kuyakuza zaidi katika maeneo mbalimbali" Dkt. Mwinyi.Waziri Dkt. HUSSEIN MWINYI amesisitiza kuwa Wizara hiyo kwa ushirikiano na Watendaji wa SUMA JKT wataendelea kuondoa changamoto mbalimbali zinazojitokeza ili kuhakikisha ujenzi wa miradi hiyo unakamilika kwa wakati unatakiwa bila kuchelewa.

Kwa upande wake, Katibu Tawala wa mkoa wa SINGIDA Dkt. ANGELINA LUTAMBI amesema Serikali ya Mkoa Singida imeamua kulipatia Shirika la SUMA JKT zabuni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kutokana na kasi na ubora wa utekelezaji wa miradi kulingana na thamani ya fedha inayotolewa na Serikali.

Shirika la SUMA JKT kwa mkoa wa SINGIDA linatekeleza miradi 12 ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 2.5 

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT.SAMIA WABISHA HODI SINGIDA

    April 23, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.