• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Halmashauri zatakiwa kusimamia matumizi ya fedha za miradi na kuhakikisha zinatumika kabla ya mwisho wa bajeti.

Posted on: April 11th, 2023

Halmashauri za  Mkoani Singida zimetakiwa kuongeza umahiri katika usimamizi wa miradi mbalimbali  ikiwemo mradi Boost ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kwa gharama zilizokusudiwa kabla ya mwisho wa mwaka wa fedha kumalizika.

Maelezo hayo yametolewa leo tarehe 11/04/2023  na Mkuu wa Mkoa huo Peter Serukamba wakati alipokutana na Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Maafisa elimu, Wahandisi na Maafisa manunuzi wa Halmashauri zote za Mkoa huo.

RC Serukamba ameelekeza viongozi kusimamia na kutembelea miradi mara kwa mara ili kutatua changamoto ambazo zinaweza kuibuka wakati wa utekelezaji huku akiwataka Wakuu wa Wilaya wote kukutana na wauza saruji ili kukubaliana gharama za ununuzi na ufikishwaji wa saruji katika maeneo ya kazi.

Hata hivyo amewataka Wakurugenzi kuwalipa kwa awamu mafundi watakaotekeleza ujenzi wa madarasa hayo huku akitoa tahadhari kwa mafundi ambao wamekuwa na tabia ya kutowalipa vibarua waliofanya nao kazi na kusababisha kazi kuchelewa.

Aidha Wakurugenzi walimueleza RC Serukamba kwamba tayari washapata maeneo kwa ajili ya ujenzi na kamati za ujenzi zimeshaundwa hivyo kazi ya ujenzi itaanza muda wowote hivyo kumlazi RC kutoa maelekezo mengine kwa Wakurugenzi na taasisi zinazohusika na upimaji wa aridhi kuhakikisha maeneo hayo yanapimwa na wanapata hati miliki katika kipindi kifupi.

Akimalizia maagizo yake Serukamba amesema kila Mkuu wa Idara apewe sehemu ya kusimamia katika ujenzi huo huku akiwataka wahandisi kuongeza usimazi na kuhakisha kabla ya mwezi ya sita kazi hiyo inakamilika.

Awali akifungua kikao hicho Serukamba alibainisha kwamba  Mkoa wa Singida umepokea jumla ya Tsh. Bilioni 9.024 kutoka Mradi wa boost unashugulikia uboreshaji wa elimu.

Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatma Mganga akisisitiza jambo wakati wa kikao hicho.

Amesema fedha hizo ni maalumu kwa ajili ya Ujenzi wa miundombinu ya shule ikiwemo madarasa matundu ya  choo pamoja na madawati imegawanywa kama ifuatavyo,  Ikungi wamepata Bilioni 1.47 Iramba bilioni 1.59 Itigi 1.39 Manyoni Milioni 909 Mkalama Milioni 925 Singida DC Bilioni 1.351 na Manispaa wamepata Bilioni 1.371 alisema

Mwisho

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.