• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Kila Mtoto kupata Chanjo ya Polio awamu ya Nne - Serukamba

Posted on: November 30th, 2022

Wananchi Mkoani Singida wametakiwa kuhakikisha wanawapatia watoto wao wenye umri wa miaka chini ya mitano chanjo ya matone dhidi ya Ugonjwa wa Polio itakayotolewa kuanzia tarehe Moja hadi Nne Desemba, 2022.

Akiongea wakati wa ufunguzi wa kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi ya Mkoa (PHC) Mkuu wa Mkoa huo Peter Serukamba amewataka wazazi na jamii kwa ujumla kuhakikisha kila mtoto mwenye umri wa chini ya miaka mitano anapata chanjo ili kuwa salama na watu wengine.

Aidha RC Serukamba amefafanua kwamba jumla ya watoto ambao wanatarajia kupata chanjo ni 443,230 ambapo  Iramba ina watoto 65,074  Singida Dc watoto 690,557 Manyoni 55,825 Manispaa ya Singida  45,722 Ikungi 97,575 Mkalama 58,905 na Itigi watoto 51,072.

"Tayari vifaa na chanjo vimekwisha wasili katika vituo mbalimbali vya Afya na Zahanati ambapo huduma nyingine zitakuwa zikitolewa kwa njia ya mkoba nyumba kwa nyumba mtoto baada ya mtoto" alisema Serukamba.

Hata hivyo amewataka wakuu wa Wilaya kusimamia zoezi hilo kuhakikisha chanjo hiyo inatolewa na inawafikia idadi iliyopangwa katika Wilaya.

Amesema chanjo inayotolewa imedhibitishwa kwamba ni salama hivyo Serikali haitawavuliwa watu wenye nia mbaya ya kuwapotosha wananchi.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Kamati ya Mkoa ya ulizi na usalama, viongozi wa Dini mbalimbali, Taasisi, muwakilishi kutoka Wizara ya Afya TAMISEMI na  muwakilishi kutoka Shirika la Afya duniani.


Mkutano ukiendelea

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.