• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU AZITAKA HALMASHAURI KUTENGA FEDHA ZA KUKABILIANA NA UGONJWA WA MALARIA KAMA MAELEKEZO YA RAIS YANAVYOTAKA

Posted on: July 9th, 2024

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Nchini Godrey Mnzava, ameziagiza Halmashauri nchini kutenga fedha za kukabiliana na ugonjwa wa malaria kama agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan linavyotaka.

Mnzava ametoa agizo hilo Wilayani Iramba mkoani Singida wakati anakagua afua za lishe na kuonyesha kutorishishwa na kasi ya baadhi ya Halmashauri katika kutenga fedha za mapato ya ndani kwa ajili ya  kukabiliana na ugonjwa Malaria.

Mnzava amesistiza kuwa agizo la Rais Samia ni lazima litekelezwe kwa nguvu zote ili kuhakikisha ifikapo mwaka 2030 ugonjwa huo wa Malaria uwe umetokomezwa kabisa hapa nchini.

"Tengeni bajeti kwa kutumia mapato ya ndani kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa malaria kwa sababu bado unaathiri nguvu kazi ya Taifa," amesisitiza Mnzava.

Ametoa mfano kwa Halmashauri ya Iramba ambayo inakusanya zaidi ya bilioni Mbili kwa mwaka kutoka kwenye vyanzo vyake vya mapato lakini imeshindwa kutenga shilingi milioni Saba kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa malaria jambo ambalo amesema sio zuri na halifurahishi hata kidogo.

Kuhusu matumizi ya dawa za kulevya, Kiongozi huyo wa Mbio za Mwenge wa Uhuru amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuimarisha misako ambayo itasaidia kuwakamata watumiaji na wafanyabiashara za dawa hizo ili waweze kukamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.

Amesema tatizo hilo lisipokomeshwa litaendelea kuathiri kwa kiasi kikubwa vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa hivyo ni muhimu kwa wananchi wote kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya uzambaji na utumiaji wa dawa za kulevya ikiwemo kuwabaini watu kwa siri watu wanaofanya biashara ili waweze kukamatwa na kuwajibishwa.

Baadhi ya Viongozi wa Wilaya ya Iramba wamemwahidi Kiongozi huyo wa mbio za mwenge kuwa watatekeleza maagizo yake aliyoyatoa kwa ajili ya ustawi wa wananchi wa wilaya ya Iramba na mkoa wa Singida kwa ujumla.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.