• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU - DHIBITI RUSHWA KWENYE MANUNUZI YA UMMA KWA KUTUMIA MFUMO WA NeST ..

Posted on: July 8th, 2024

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Godfrey Mnzava amewaagiza Viongozi wa Mikoa na wilaya nchini kutumia Mfumo mpya wa Kielekroniki wa Manunuzi wa Umma -NeST - kama hatua ya kupata Wakandarasi bora na kudhibiti Vitendo vya Rushwa kwenye uombaji wa zabuni.

Kiongozi huyo wa Mbio za Mwenge wa Uhuru ametoa kauli hiyo ‎(08-‎Jul-‎2024) wakati anazindua barabara ya lami yenye Urefu wa Kilomita 1.21 ya Minga - Imbele katika Manispaa ya Singida ambayo imejengwa kwa Gharama ya zaidi ya shilingi milioni 992.

Mnzava amesema mfumo wa NeST ni salama ni wa wazi kwa sababu kila mchakato wa manunuzi wa umma  unaofanyika ndani ya mfumo kila mwombaji aliyepewa dhamana ya kuingia kwenye mfumo huo anaona au anajua kinachoendelea kwenye mchakato huo hali ambayo inapunguza vitendo vya rushwa wakati wa mchakato huo.

"Mhe. Rais wa Jamhuri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anataka kuona mfumo huo NeST unatumika ipasavyo kwa ajili ya kudhibiti manunuzi ya umma, Amesisitiza Mnzava.

Ameeleza kuwa mfumo huo umeundwa na Wazawa na una asilimia kubwa ya kulinda siri na usalama wa nyaraka za Serikali ukilinganisha na mfumo wa TANeMPS uliokuwa chini ya wageni.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru amesisitiza kuwa mfumo huo hauna upendeleo kwa sababu kila mwombaji wa zabuni anaona eneo gani amefaulu na eneo ambalo hajakidhi vigezo. 

Mfumo Mpya wa Kielekroniki wa Manunuzi ya Umma - National -e- Procurement System - NeST unatarajiwa kuwa mbadala wa Mfumo wa awali wa manunuzi ya umma uliojulikana kama Tanzania National -e- Procurement System yaani TANePS.

Akisoma Taarifa ya mradi wa ujenzi wa barabara hiyo kwa Mkimbiza Mwenge Uhuru, Meneja wa Tarura Manispaa ya Singida Mhandisi Lazaro Kitomary amesema ujenzi wa barabara hiyo utasaidia kwa kiasi kikubwa shughuli za usafiri na usafirishaji kwa wakazi wa maeneo hayo.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Godfrey Mnzava akikata utepe kuashiria kufungulia kwa barabara ya lami yenye Urefu wa Kilomita 1.21 ya Minga - Imbele katika Manispaa ya Singida ambayo imejengwa kwa Gharama ya zaidi ya shilingi milioni 992.

Sehemu ya barabara iliyojengwa kwa kiwango cha lami ya Minga - Imbele katika Manispaa ya Singida.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.