• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Lugha zisizo na staha za Watendaji zamkera Serukamba

Posted on: April 28th, 2023

Watendaji wa Serikali Mkoani Singida wametakiwa kujifunza na kutumia taaluma ya huduma kwa mteja (costumer care) ili kutoa huduma inayowaridhisha wateja wao na kupunguza kero kwa wananchi.

Kauli hiyo imetolewa leo 28/4/2023 na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba wakati alipokuwa akisikiliza kero za Wananchi wa Manispaa ya Singida katika Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA).

Amesema changamoto nyingi zinasababishwa na lugha mbaya za Watendaji wa Serikali ambao wameamua kutojali maslahi ya wengine hivyo kuwataka kutumia lugha zenye staha kuwajibu wateja wao na kujiwekea taratibu za kuwapa elimu kabla ya kufanya maamuzi.

Aidha amewataka Wakuu wa Taasisi mkoani hapo kuhakikisha wanatekeleza maamuzi wanayokubaliana vinginevyo vikao hivyo vitakuwa havileti maana kwa wananchi ambapo waliokuwepo baadhi ya wananchi ambao walikuja na hoja ambazo zilitolewa maelekezo katika kikao kilichopita.

Kero nyingi zilizoletwa na wananchi kwa Mkuu wa Mkoa zilikuwa ni migogoro ya viwanja, changamoto ya ulipaji wa pensheni kwa wastaafu kupitia mfuko wa NSSF, migogoro ya familia na  umilikishwaji wa ardhi.

Kikao hicho kilihudhuriwa na Katibu Tawala Mkoa wa Singida, Dkt. Fatma Mganga, Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili, Mstahiki Meya, Wahandisi, Kamati ya ulinzi na usalama na maafisa elimu kata pamoja na wakuu wa Taasisi.

MATUKIO KATIKA PICHA

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.


Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatma Mganga akizungumza wakati wa mkutano huo.

Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili akijibu moja ya kero ya wananchi wa Singida Mjini wakati wa mkutano huo.

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Jeshi Lupembe akijibu moja ya kero na malalamiko ya wananchi wa Singida Mjini.



Mwisho

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.