• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Madiwani Watakiwa kushiriki kikamilifu zoezi la uwekaji wa Anwani za Makazi na Posti Kodi Wilayani Manyoni

Posted on: May 11th, 2022

Madiwani wa Kata za Manyoni Mkoani Singida  Wametakiwa kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa zoezi la uwekaji wa Anwani za Makazi na Posti Kodi ili kutatua changamoto mbalimbali ambazo zimesababisha zoezi hilo kushindwa kukamilika kwa wakati katika Kata hizo.

Kauli hiyo imetolewa leo na Mkuu wa Mkoa huo Dkt. Binilith Mahenge akiwa katika Kikao kazi na Madiwani kilichofanyika ukumbi wa Halmashauri ya Manyoni ambapo amesema kusuasua kwa zoezi la uwekaji wa anwani za Makazi Wilayani hapo limetoka na ushikishwaji mdogo baina ya Watendaji, Madiwani pamoja na wakuu wa Idara.

Kufuatia kauli hiyo RC Mahenge amewataka wakuu wa Idara wote kuwa miongoni mwa  kamati za utekelezaji wa zoezi hilo na kutumia muda wa Siku mbili kuhakikisha vibao vyote vinawekwa na nyumba zote zinabandikwa namba au kuandikwa kwa mkono.

"Haiwezekani muda wote tunasubiria stika za kubandika mlangoni ambapo nyumba zaidi ya 42800 zilizowekwa namba hazifiki hata nusu yake jambo ambalo kama mngeandika kwa rangi au makapen mngekuwa mmeshamaliza, naagiza ndani ya Siku mbili kuanzia leo kazi hii iwe imekamilika" Alifafanua RC Mahenge.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge akisisitiza jambo juu ya vibao  elekezi wakati wa ziara hiyo wilayani Manyoni

RC Mahenge amesema ikifika tarehe 13 kazi hiyo haijakamilika hata sita kuwasimamisha kazi watumishi ambao wamesababisha uzembe huo huku akiwataka Polisi Magereza na Askari wanyamapori kuwasiliana na Mkurugenzi ili magari yao yatumike katika usambazaji wa vibao ambayo vimekamilika lakini havijafikishwa sehemu zinazostahili.

Hata hivyo RC Mahenge amewataka watumishi hao kutojiingiza katika mambo ya siasa badala yake watekeleze majukumu yao kwa ufasaha huku akiwataka madiwani kushiriki shughuli zote za maendeleo katika maeneo yao ili kusaidia kuleta mabadiliko ya maisha kwa wananchi wao.

Sambamba na hilo RC amekemea vikali tabia za watumishi wa umma kutumia vilevi kulikokithiri akioanisha na utendaji kazi usio ridhisha wa watumishi mbalimbali wa Halmashauri hiyo.

Wilaya ya Manyoni imekuwa na changamoto katika uwekaji wa anwani za Makazi mijini na Vijijini kutokana na kufanya kazi bila ushirikiano na kutowajibika kikamilifu kwa waliopewa dhamana ya kuongoza jambo ambalo limekuwa likirudisha nyuma mipango ya Serikali Wilayani hapo alibainisha RC Mahenge.

Mwisho

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.