• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Masaa 48 Taasisi za Serikali Mkoani Singida ziwe zimewekwa anwani za Makazi

Posted on: April 27th, 2022

Taasisi zote za Serikali mkoani Singida zimepewa masaa 48 kukamilisha uwekaji wa anwani za Makazi katika maeneo yao kama sehemu mfano lengo likiwa ni kuharakishwa ufanikishaji wa zoezi hilo.

Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dorothy Mwaluko katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo  wakati wakipokea taarifa ya utekelezaji wa uwekaji wa anwani za Makazi katika Halmashauri Saba (7) za Mkoa huo.

Katibu Tawala huyo amezitaka kila Taasisi ya Serikali mkoani hapo kwa kutumia gharama zao ifikapo tarehe 29 April 2022 sawa na masaa 48 kuhakikisha wameweka vibao katika maeneo yao.

Hata hivyo RAS huyo amesema zoezi la uwekaji wa namba katika nyumba  na majina ya Mtaa yanatakiwa kukamilika kwa Mkoa mzima kabla ya tarehe tano mwezi Mei mwaka huu na kuwakumbusha Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia kikamilifu zoezi hilo.

Hata hivyo Mwaluko amebainisha kwamba hakuna mgogoro wa ardhi mkoani hapo ambao unaweza kuwa changamoto katika utoaji wa anwani za makazi kwa kuwa vipomo  vya aridhi vimebainisha kuwa hakuna migogoro hivyo kuwataka wanaotekeleza zoezi hilo kuacha kutumia migogoro kama kigezo cha kuchelewesha kazi.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu Wizara ya habari, Mawasiliano na Technolojia ya habari Mohamed Khamisi,  amesema Mkoa wa Singida umechelewa kufikia malengo ya uwekaji wa anwani za Makazi hasa katika nyumba na majina ya mitaa hivyo kuwataka wasimamizi kukamilisha zoezi hilo kabla ya Mei tano mwaka huu.

"Nilipotoka Dodoma nilipita katika baadhi ya mitaa kadhaa ya Mkoa wa Singida sikuona vibao vya mitaa wala namba kwenye nyumba, tumechelewa tunatakiwa tukimbie ili tuweze kwenda sawa na mikoa mingine" Katibu Mkuu

Katibu Mkuu huyo akaelekeza kukamilika kazi hiyo mapema kwa kuwa timu  itakuja kufanya ukaguzi kabla ya taarifa kukabiziwa kwa Mamlaka nyingine mwishoni mwa mwezi Mei.

Awali akiwasilisha taarifa ya operesheni Anwani za Makazi kwa Mkoa mzima Athuman Simba  amesema jumla ya anwani 343,815 zimekusanywa  na kusajiliwa kwenye mfumo wa NaPA ikiwa ni sawa na asilimia 103.48

Kikao hichi kilishirikisha Wakurugenzi wa Halmashauri zote za mkoa huo pamoja na waratibu wa zoezi hilo.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.