• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Mganga Mkuu wa Mkoa Singida akutana na viongozi wa kanisa katoliki kujadili Mkakati wa uhamasishaji kuhusu chanjo ya UVIKO 19

Posted on: November 18th, 2021

Jumla ya watu waliopata chanjo kwa mkoa wa singida nia 26,739 kati ya amabapo 1,754,37 wamekwisha maliza dozi ile ya Janssen sawa na asilimia 1.5 
Akiongea wakati akifungua mkutano wa viongozi wa kanisa katoliki jimbo la singida  uliohusu  uhamasishaji wa chanjo ya corona kwa watanzania mganga  mkuu wa mkoa wa singida Victorina Ludovick amesema kumekuwepo na jitihada mbalimbali za kuwafikia wananchi wa makundi yote ili kupata chanjo, ambapo  mbinu mbali mbali zimetumika kuifikia jamii. 
Aidha amesema uzoefu tulioupata katika hatua za awali unaonesha kuwa elimu kwa umma imechangia mafanikio makubwa katika zoezi hili na kwamba bado ipo haja ya kuwashirikisha waumini wengi ili watambue umuhimu wa wao kupata chanjo. 
Hata hivyo Dkt. Ludovick amefafanua kwamba wizara ya Afya imepitisha mbinu na mikakati mbalimbali kuhamasisha  mkakati harakishi na shirikishi wa kushirikisha taasisi mbalimbali, makundi ya kijamii  na viongozi wa  dini. 
“Kupitia mkutano huu nina Imani kubwa kwamba mtaendelea kuwa sehemu inayohubiri kuhusu afya bora kwa wananchi wetu ili kuepusha vifo zaidi vinavyotokana na corona” alisema Vicctorina Ludovick 
“Natambua pia kuwa mbinu zingine za kukabiliana na ugonjwa huu zikiwemo kuvaa barakoa, Kutumia vitakasa mikono, kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pamoja kuzingatia afya ya ulaji vyakula vyenye kujenga kinga za mwili mmekuwa mkizihamasisha kila mkutanapo  kwa waumini wenu”. Aliendelea kufafanua Mganga Mkuu
Hata hivyo Mganga Mkuu amebainisha kuwa kwa sasa chanjo mpya imeingia mkoani hapa aina ya Sinopharm ambayo hutolewa dozi mbili (2) ambapo amewataka wananchi wote walioypata dozi moja ya  aina hiyo kuhakikisha wanamalizia dozi ya pili kulingana na maelekezo waliyopewa.
Dkt. Ludoviki ameendelea kusema kwamba Chanjo hizi zinatolewa kwa mgawo duniani na wananchi wanazipata bure kupitia vituo maalum vya chanjo, ambapo zimeshapelekwa katika vituo vyote vya huduma za afya nchini. Aidha ameeleza kwamba huduma  hii  inapatikana katika maeneo mbalimbali kwa njia ya huduma mkoba (outreach), meneo hayo ni Pamoja na vituo vya usafirishaji, masoko, vivukoni, mipakani na maeneo mengine mengi yenye mwingiliano mkubwa wa watu kwa wakati mmoja. 
Bado idadi ya watu wanaohitaji chanjo ni kubwa kote duniani hivy ni  muhimu Tanzania nasi kuhakikisha mgawo wetu tunautumia vizuri na kwa kuzingatia muda wa chanjo hizi kutumika alieleza Mganga Mkuu. 
Akimalizia hotuba yake amesema kwamba  Chanjo hizi ni salama, zimeonesha mafanikio makubwa na ni njia ya haraka ya kupunguza makali ya ugonjwa wa Corona hivyo kutozipatia umuhimu ni sawa na kujiumiza wenyewe na ni jukumu letu kuwafungua macho wengine ambao bado wana wasiwasi ili wachanje na hivyo kujilinda wao wenyewe na kuwalinda wengine wanaowazunguka alimazia Dkt Victorina Ludovick
Kikao hicho kilihudhurwa na Askofu wa Jimbo Katoliki Singida ,Muwakilishi wa baraza la Maaskofu Tanzania (TEC),wezeshaji Kutoka Chuo Kishiriki cha Sayansi ya Tiba Muhimbili, Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, AMREF Health ,Wadau wa sekta ya Afya na Masista;mwisho


Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.