• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MIAKA 60 YA MUUNGANO, WANANCHI WA SINGIDA WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUWALETEA MAENDELEO MAKUBWA.

Posted on: April 26th, 2024

Wananchi wa mkoa wa Singida amesherekea miaka 60 ya Muungano kwa kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuupatia mkoa wa Singida fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo imeleta mabadiliko makubwa ya kijamii.

Mkuu wa mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego, akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanzania ambayo kimkoa yamefanyika mjini Kiomboi wilayani Iramba amesema pamoja na Serikali Kuu kutoa fedha nyingi kwa ajili ya miradi ya maendeleo lakini bado kuna umuhimu mkubwa kwa wananchi kushirikiana na Serikali katika kujitolea nguvu kazi ili kuongeza kasi katika ukamilishaji wa miradi hiyo.

Dendego, amesema maendeleo ya kweli hayawezi kuja kama watu hawatashirikiana katika kufanya kazi hivyo ni muhimu kwa makundi yote kushirikiana kwa kiwango cha juu ili kuharakisha maendeleo yao na ya Taifa kwa ujumla.

Aidha, amewahakikishia wananchi wa mkoa huo kuwa yeye ni muumini mzuri kwa watu wanaochapa kazi kwa bidii hivyo ni lazima wananchi wote kuchapa kazi ili kujiletea maendeleo yao na ya Taifa kwa ujumla.

Katika maadhimisho hayo ya miaka 60 ya Muungano, Mkuu huyo wa mkoa ametoa zawadi mbalimbali kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika uandishi wa isha pamoja na vikundi mbalimbali vya burudani zilizotumbuiza hususan kwa wimbo maalum wa Muungano.

Mkuu wa Wilaya ya Iramba Suleiman Mwenda, akizungumza kwenye maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania yaliyofanyika katika viwanja vya stendi ya Kiomboi wilayani Iramba Aprili 26, 2024

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.