• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MIAKA 60 YA UHURU: SINGIDA YAJIVUNIA USALAMA WA CHAKULA

Posted on: December 8th, 2021

Kipindi cha miaka 60 ya uhuru Mkoa wa Singida umejitosheleza kwa chakula na ongezeko la uzalishaji wa mazao ya biashara yakiwemo  Alizeti, ufuta, dengu, korosho na vitunguu kutokana na mabadiliko katika matumizi ya teknolojia za kisasa kwenye kilimo.

Kauli hiyo imetolewa leo na mkuu wa mkoa huo Dkt. Binilith Mahenge wakati wa kilele cha maadhimisho ya kimkoa ya miaka 60 ya uhuru yalifanyika katika uwanja wa Jumbe wilayani Manyoni mkoani hapo.

Uzalishaji wa mazao makuu ya chakula umeongezeka kutoka Tani 197,886 mwaka 1990 hadi kufikia Tani 821,882 mwaka 2020/2021.

“uzalishaji wa mazao ya chakula ya kipaumbele ambayo ni mtama, uwele, viazi vitamu na muhogo, uzalishaji wa mazao haya uliongezeka kutoka Tani 194,878 mwaka 2005/2006 hadi kufikia Tani 395,594 mwaka 2020/2021” Amesema Dkt. Mahenge.

Aidha amebainisha kwamba uzalishaji wa mazao ya biashara ya kipaumbele ambayo ni alizeti, pamba, vitunguu, na korosho uliongezeka kutoka Tani 41,746 mwaka 2005/2006 hadi Tani 230,793 mwaka 2020/2021.  Zao la alizeti pekee uzalishaji umeongezeka kutoka Tani 28,917 mwaka 2005/2006 hadi Tani 222,8000 mwaka 2020/2021, aliendelea kufafanua RC Mahenge.

Wakati wa Utawala wa Mkoloni Singida hapakuwa na kiwanda kikubwa na vya kati hata kimoja wakati wa Uhuru na sasa vipo 9 mwaka 2020/2021.

Meneja wa Shirika la kuhudumia Viwanda vidogo (SIDO) Mkoa wa Singida Agnes Yesaya akizungumza kwenye ukaguzi wa mabanda.

Akizungumizi ongezeko la viwanda katika kipindi cha miaka 60 ya uhuru RC Mahenge amebainisha kwamba Mwaka 1961 hapakuwa na viwanda vya usindikaji wa alizeti lakini mwaka 2021 kuna jumla ya viwanda 204 vinavyofanya kazi.

“Mwaka 1961 viwanda vidogo vilikuwa ni vichache na vilikuwa vya fani  ya useremala, uhunzi na utengenezaji chumvi, na sasa vipo jumla ya viwanda vidogo 1,309 vinavyofanya shughuli mbalimbali mwaka 2020/2021” alieleza RC Mahenge.

Akieleza kuhusu huduma ya afya amefafanua kwamba Mkoa kwa sasa una jumla ya vituo vya kutolea huduma za Afya 246 ambapo Hospitali kumi na moja (11), vituo vya Afya 20 na Zahanati 211.

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa akaeleza kwamba mkoa  umepokea fedha za tozo Sh. Bilion 2.2 kwa ajili ya vituo vya Afya tisa (9) na kupitia Mpango wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano ya UVIKO 19 Sh.Bilion 1.94 zimepokelewa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya dharula katika Hospitali za wilaya, wagonjwa mahututi na nyumba za watumishi.

MATUKIO KATIKA PICHA

Halaiki ya Wanafunzi wa Shule za Msingi Manyoni

Mhe. Mkuu wa Mkoa akikagua Mabanda ya Maonesho

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge akihutubia Wananchi katika Maadhimisho ya kimkoa ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dorothy Mwaluko akizungumza katika Maadhimisho ya kimkoa ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Mhe. Mkuu wa Mkoa akitoa zawadi kwa Wanafunzi washindi wa Insha kuhusu Mkoa wa Singida.

Mhe. Mkuu wa Mkoa akitoa zawadi ya pongezi kwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe. Rahabu Mwagisa wakati wa sherehe hizo

Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Singida wakiwa katika picha ya pamoja na Meza kuu.

Wananchi waliozaliwa tarehe 09 Desemba wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama na Serikali.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.