• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

*MIKOA YA SIMIYU NA ARUSHA KUNUFAIKA NA UJENZI WA BARABARA SINGIDA.*

Posted on: October 23rd, 2024

Ukamilishwaji wa mradi wa ujenzi wa barabara wilayani Iramba kwa kiwango cha lami unategemewa kuwa chachu ya maendeleo kati ya Mikoa ya Arusha, Simiyu na Mkoa wa Singida katika nyanja zote za maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kufuatia Ujenzi wa barabara ya Kitukutu-Gumanga-Chemchem-Sibiti,sehemu ya kitukutu -Kinampanda yenye urefu wa kilometac7.7 kwa kiwango cha lami.

Akizungumza wakati akikagua mradi huo unaofadhiliwa kwa asilimia mia moja na serikali ya TanzaniaWaziri wa habari,mawasiliano na teknolojia ya habari,Mhe.Jerry Silaa, amesema ni wakati wa wakulima na wafanyabiashara kujibu kiu yao ya kupata masoko ya kuuza bidhaa zao zaufugaji, kilimo ikiwemo mahindi,alizeti,pamba na vitunguu pamoja na na biashara nyinginezo

Mhe.Silaa amesisitiza kuwa utekelezaji wa mradi huo utarahisisha upatikanaji na ufikiwaji rahisi wa huduma za afya kwa wananchi wa mikoa hio kwa wakati wote  kutokana na miundombinu bora ya barabara hiyo inayotarajiwa kukamilika Machi 2025 na sasa utekelezaji wake ukiwa asilimia 62.5

"Barabara hii inakwenda kukata kiu ya watanzania kutoka Maswa,Mkalama,Karatu na Meatu kuunganika na Wilaya ya mkalama,Iramba na maeneo mengine.Ni wakati wa wakulima kutumia vizuri ruzuku za pembejeo za kilimo na upatikanaji rahisi wa bidhaa zao za kilimo na ufugaji".alisema Mhe.Silaa

Mradi huo unagharimu kiasi cha Tsh 9.31bilioni ukitekelezwa na mkandarasi mzawa M/s Samota wa Tabora chini ya usimamizi wa TANROADS Singida ukihusisha kunyanyua tuta,tabaka la udongo mgumu,tabaka la simenti,tabaka la kokoto na mwishowe tabaka la lami nyepesi.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT.SAMIA WABISHA HODI SINGIDA

    April 23, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.