• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MIRADI YA HALMASHAURI YA MANISAPAA YA SINGIDA YAMKOSHA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA 2023

Posted on: September 25th, 2023

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023, Abdalla Shaib Kaim amesema kuwa miradi ya maendeleo iliyokaguliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida imetekelezwa kwa viwango vinavyokubalika na kutekelezwa kizalendo.

Kaim ametoa kauli hiyo leo tarehe 25 Septemba, 2023 wakati wa ziara ya ukaguzi, uzinduzi na uwekaji wa jiwe la msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya hiyo.

Kaim akiweka jiwe la msingi katika Kituo cha Afya Mtipa, amesema kuwa miradi mingi imetekelezwa kwa viwango vinavyokubalika na kuzingatia ubora na thamani ya fedha.

Akizungumzia mradi wa Kituo cha afya cha Mtipa, Kaim amesema kuwa mradi huo umejengwa kwa kiwango na ubora sambamba na uwepo umakini katika nyaraka mbalimbalimbali za manunuzi na utekelezaji wa mradi.

Hata hivyo amewataka Wakandarasi wanaofanikiwa kupata tenda za kujenga miradi mbalimbali ya Serikali wanatakiwa kuwa wazalendo kwa kuhakikisha wanajenga miradi hiyo kwa viwango ubora  unaokubaliwa na Serikali.

Aidha amewataka wakandarasi kuhakikisha wanamaliza miradi yao kwa wakati ili iweze kutumika kwa malengo yaliyokusudiwa na si vinginevyo.

Katika hatua nyingine Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023 ametembelea na kukagua mradi wa uboreshaji wa huduma wa usafi wa mazingira katika Manispaa ya Singida.

Sambamba na hilo amewataka wananchi wa Singida Mjini kuhakikisha wanatunza mazingira kwa kupanda miti na kuitunza.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amesema miradi iliyozinduliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu pamoja na kukaguliwa na kuwekwa jiwe la msingi itatunzwa na kulindwa na ile ambayo haijakamilika itakamilishwa kwa wakati.

Sambamba na hilo Mhandisi Muragili, amesema miradi inayotekelezwa inalenga kuwanufaisha wananchi na kuhakikisha fedha zinazotolewa na Serikali zinatumiwa kwa malengo yaliyokubalika.

Jumla ya sh. Bilioni 3.113 zimetumika kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida. Katika ujenzi wa miradi hiyo imewashirikisha wananchi, wadau (wahisani) pesa za ndani kwa maana ya vyanzo vya mapato kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Singida na fedha kutoka Serikali Kuu.

Kwenye utekelezaji wa miradi hiyo wanachi wamechangia kiasi cha fedha Milioni moja, wahisani Bilioni 1.7, Manispaa shilingi Milioni 511 na Serikali Kuu imechangia kiasi cha Shilingi Milioni 870.4 na kufanya jumla ya sh Bilioni 3.113

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.