• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Miradi ya vyumba vya madarasa Singida viwe ni fursa kwa wafanya biashara.

Posted on: May 18th, 2023

Wakurugenzi wa Halmashauri  Mkoani Singida wameaswa kununua vifaa mbalimbali vya ujenzi kwa wafanya biashara wa ndani ya Mkoa huo  hasa  kipindi hiki ambacho Serikali inajenga vyumba vya madarasa  chini ya miradi wa boost  ili kuwanufaisha wafanya biashara.

Maagizo hayo yametolewa tarehe 18.05.2023 na Mkuu wa Mkoa huo, Peter Serukaba wakati akikagua ujenzi wa miradi ya shule katika Manispaa ya Singida ambapo alieleza kwamba miradi hiyo itawanufaisha wafanyabiashara endapo vifaa vya ujenzi vitanunuliwa kwao.

Aidha, amekemea baadhi ya viongozi ambao katika Manispaa ya Singida wameshindwa kuendelea na ujenzi wa moja ya shule katika Manispaa hiyo kwa kile walichodai kwamba wameagiza nondo Dar es Salaam na zilikuwa bado hazijafika wakati ujenzi unatakiwa kukamilika kabla ya tarehe 30.6.2023.

"Tulikubaliana kwamba vifaa vyote vinunuliwe hapa ndani ya mkoa ili kuwanufaisha wafanyabiashara wa ndani na kuwapatia ajira za muda mfupi mafundi wa maeneo husika" Serukamba

Hata hivyo amewataka Viongozi hao kutumia muda wao mwingi kwenye usimamizi wa miradi hiyo ili kuhakikisha hakuna fedha itakayorudi wakati wananchi wana uhitaji mkubwa wa shule hizo.

Hata hivyo Mkuu wa Wilaya, Mhandisi Paskasi Muragili alibainisha kwamba vifaa vya ujenzi  vinavyopatikana hapa Singida vina ubora mzuri ambapo ameeleza kwamba vifaa kwenda kununuliwa nje ya Mkoa huo kunaleta maswali mengi na kinaendelea kuchelewesha mafundi kuendelea na kazi.

Kwa upande wake Meya wa Manispaa hiyo, Yagi Kiaratu amesema wamepokea maelekezo ya Mkuu wa Mkoa na watahakikisha kila Mkuu wa Idara au Kitengo anapata mradi mahsus na kuusimamia lengo likiwa ni kumaliza kwa wakati na kwa viwango.

Ziara hiyo ya Mkuu wa Mkoa imefanikiwa kutembelea miradi 12 ya ujenzi wa vyumba vya madarasa Kituo cha Afya, Zahanati na bweni la Sekondari.



Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.