• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

"Misitu lazima iwatajirishe Wananchi wa Singida" Dkt. Mganga

Posted on: May 12th, 2023

Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Wenyeviti wa Halmashauri wametakiwa kutumia kipindi cha siku thelathini (mwezi mmoja) kufanya utambuzi na uwekaji wa alama ya mipaka katika misitu iliyopo maeneo yao ikiwa ni pamoja na kutambua wamiliki wake ili ijulikane ukubwa wa msitu hiyo kwa ajili ya  kuanza hatua za awali za kufanya biashara ya hewa ukaa.

Akiongea katika kikao kazi kilichofanyika tarehe 12 Mei, 2023 kilichotumika kutoa elimu ya Biashara ya hewa ukaa kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatma Mganga amesema Biashara hiyo itawaletea wananchi wa Singida utajiri kupitia Misitu hiyo kama inavyofanyika katika maeneo mengine Duniani.

 Aidha Dkt. Fatma  alisistiza kutolewa elimu kwa wananchi kuhusu utunzaji wa misitu na  biashara hiyo  ili wawe tayari kuilinda na kuongeza upandaji wa miti sehemu ambazo hazina miti.

 "Nashukuru tupo na wenyeviti wa Halmashauri hapa najua litawafikia Madiwani, wataalamu wetu tumieni vikao vya Madiwani kuwapa elimu na mhakikishe inawafikia wananchi" Dkt. Mganga.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Pasikas Muragili amesema tayari wana mtaji kwa kuwa wanamsitu wa Mgori Msikii na maeneo mengi walishapanga matumizi bora ya ardhi.

Hata hivyo alibainisha kwamba wanaenda kukutana na wakala wa misitu TFS ambao walishawakabidhi moja ya msitu wao ili waone namna watakavyoshirikiana katika kulinda na kuhifadhi msitu ambao waliwakabidhi hivi karibuni.

Awali akitoa elimu ya biashara ya ukaa muwezeshaji kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika alisema Tanzania ina fursa kubwa kwakuwa bado haijaathiri kwa kiasi kikubwa.

Hata hivyo alieleza kikao hicho kwamba yupo tayari kuja Mkoani Singida kushirikiana na wataalamu wa Mkoa huo katika kuandika mradi kuhusu biashara hiyo.


Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT.SAMIA WABISHA HODI SINGIDA

    April 23, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.