• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Mkandarasi asimimishwa kazi Manyoni

Posted on: July 15th, 2022

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa ameagiza Wakala wa barabara mjini na Vijijini TARURA Mkoa wa Singida  kuvunjwa kwa mkataba baina yao na Mkandarasi wa  Kampuni ya Bullem Investment limited  wanaojenga Barabara ya kutoka Kitongoji cha Majengo mpaka Hospitali ya wilaya kwa kushindwa kukamilisha kazi hiyo kwa wakati.

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo  Wilayani hapo baada ya kupata malalamiko ya wananchi wa maeneo hayo wakilalamikia kushindwa kukamilika kwa Barabara hiyo kwa kipindi kirefu na kusababisha usumbufu kwa wakazi wa eneo hilo.

Aidha Waziri Mkuu akamuagiza Meneja TARURA Mkoa wa Singida kukagua na kumlipa Mkandarasi kulingana na asilimia zilizofikiwa katika Ujenzi wa Barabara hiyo na asilimia zilizobaki apatiwe Makandarasi mwingine atakayeweza kukamilisha kazi hiyo kwa wakati.

Hata hivyo kutokana na kutokamilika kwa miradi mbalimbali Wilayani Manyoni ikiwemo Mpango wa wamachinga, Ujenzi wa masoko kutokutana na wananchi kusikiliza changamoto zao Waziri Mkuu akawahakikishi wananchi kwamba viongozi wote ambao walihusika katika kukwamisha miradi ya Serikali kutokamilika watachukuliwa hatua za kinidhamu.

Malalamiko mengine ya   wananchi hao ilikuwa ni kutozwa fedha wakati wa kujifungua kina mama wajawazito ukosefu wa masoko huduma isiyoridhisha wa stand ya mabasi na madeni ya fidia ya ardhi ya wananchi.

Aidha Waziri Mkuu akawaahidi wananchi hao kushughulikia swala la madeni ya fidia za ardhi pamoja na changamoto ya Kodi huku akimtaka mkuu wa Mkoa kuhakikisha wanakuja kuwasikiliza wafanyabiashara wadogo maarufu Kama wamachinga ili kutatua changamoto zilizopo

Mwisho

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.