• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Mkataba wa Ujenzi wa Mabwawa kwa ajili ya Ujenzi wa majitaka Mkoani Singida wasainiwa.

Posted on: October 13th, 2022

Mamlaka ya Maji Safi na usafi wa Mazingira SUWASA imetakiwa kuweka Mpango mkakati ya kuwa na mifumo ya ukusanyaji maji taka (sewage system) ambayo watayatibu na kuyarudisha tena kwenye matumizi ya kawaida ili kupunguza changamoto ya upatikanaji wa maji katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Kauli hiyo imetolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba leo alipokuwa kwenye hafla ya  kushuhudia  utiaji saini  Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Mabwawa ya kutibu majitaka baina ya SUWASA na Mkandarasi M/S Perntels Company and  Nangai Engineering and Contractors  iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Bonde la Kati.

RC Serukamba amesema ujenzi wa mabwawa hayo pamoja na kwamba yatawasaidia wananchi kuendesha shughuli za kilimo lakini bado yanaweza kusaidia upatikanaji wa maji ya uhakika endapo yatatibiwa na kurudi kwenye chanzo cha maji na kuendelea kutumiwa na jamii.

Aidha, amewataka SUWASA kuhakikisha wanaongeza wigo wa huduma za maji hasa maeneo ya pembezoni mwa miji ili kuondoa  changamoto ya upatikanaji wa maji.

Amesema Mradi huo utagharimu kiasi cha Bilioni 1.73 na utatumia muda wa miezi 18 na utajengwa katika eneo la Manga katika Manispaa ya Singida.

Hata hivyo RC amewataka wananchi kuwapa ushirikiano mkubwa Wakala wa maji Safi na usafi wa Mazingira Mkoa wa Singida SUWASA katika kipindi cha Ujenzi wa Mradi huo ambao utawasaidia kwa kiasi kikubwa hasa katika upatikanaji wa mazao ya bustani kutokana na uwepo wa maji ya umwagiliaji.

Mwisho

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.