• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Mradi wa Trees for the Future wapanda miti Milioni 15.35 Mkoani Singida

Posted on: May 5th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba amelipongeza shirika lisilo la Kiserikali la Trees for the Future kwa kusimamia upandaji wa miti 15,358,918 katika Wilaya za iramba, Mkalama, Singida na Ikungi kupitia mradi wa bustani msitu.

Amesema shirika hilo lingesaidia kwa kiasi kikubwa kwa kubadilisha mazingira ya Mkoa na kusaidia upatikanaji wa vipato kwa wakulima wadogo wadogo.

Akiongea wakati wa maafali ya wakulima wapatao 249 wanaowakilisha wenzao 1445 waliohitimu mafunzo na utekelezaji wa mradi wa bustani msitu amesema kwa sasa wakulima hao huweza kunufaika kwa kuwa na misiti ambapo yapo mashirika ambayo yanalipa kwa uwepo wa misitu inayopunguza hewa ya ukaa.

RC ameahidi kwamba Serikali itatoa ushirikiano kwa shirika hilo kwa kuwa limeonesha dhamira ya dhati ya  kuimarisha usalama wa chakula na lishe  kwa wananchi wa Singida, kuinua kipato cha wakulima wadogo na kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kupanda miti.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Shirika hilo Nchini, Heri Rashid akielezea mradi huo amesema hadi sasa umezalisha  vikundi vya  wakulima vya huduma ya kuweka na kukopa  vipatavyo 107 ambavyo vimesajiliwa katika Halmashauri za Singida, Mkalama, Iramba na Ikungi ili kuwasaidia wakulima kuweka na kukopa.

Aidha Heri ameeleza lengo la Shirika hilo kuwa ni kupanda miti Bilioni moja ifikapo mwaka 2030

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba akizungumza mara baada ya kuwasili katika moja ya bustani ya mkulima.

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Thomas Apson akizungumza wakati wa hafla fupi ya mahafali hayo.

Mkurugenzi wa Shirika la Trees for the Future Nchini, Heri Rashid akizungumza wakati wa mahafali ya wakulima yaliyofanyika Siuyu wilayani Ikungi.


Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.