• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Mwenge wa Uhuru Watua Singida Vijijini

Posted on: August 11th, 2022

Mwenge wa Uhuru umefikisha siku ya Tatu Mkoani Singida na leo umekabidhiwa Wilaya ya Singida Vijijini katika viwanja vya Kihonda ambapo walibainisha kwamba Mwenge wa Uhuru utakimbizwa km 130 Wilayani hapo.

Akipokea Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili amesema Mwenge wa Uhuru utakagua Miradi mitano na prodramu Tano katika maeneo mbalimbali ya eneo hilo.

DC Muragili amesema programu hizo zinahusiana na kupinga Rushwa, Mapambano dhidi ya Malaria, mapambano dhidi ya UKIMWI/VVU na Lishe Bora kwa wananchi.

Aidha Muragili amesema programu hizo zinalenga kuondoa viwango vya maambukizi ya UKIMWI na Malaria ambayo kwa Mkoa wa Singida ni asilimia 2.3 ikilinganishwa na asilimia 7.3 ya maambukizi ya Malaria ki Mkoa.

Kwa upande wake Mratibu wa Malaria Wilaya ya Singida Bwana Mafanikio Mamba amesema Wilaya imechukua hatua kadhaa kupambana na Ugonjwa wa Malaria kwa nia ya kupunguza maambukizi hasa kwa mama wajawazito.

Amesema kwa mwaka 2021/22 watu 25,589 walipima Malaria ambapo wanaume walikuwa 9369 wanawake ni 16,220 na kubainika kwamba watu 451 walikuwa na vimelea vya Malaria.

Aidha Halmashauri ya Singida imegawa  vyandarua 25,000 sawa na robota 625 kwenye huduma za kutolea huduma kwa mama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano alisisitiza Bwana Mafanikio.

Wilaya ya Singida Vijijini imeendelea kutoa elimu ya kujikinga na maagonjwa ya kuambukiza jkiwemo ukimwi ambapo programu ya VVU/UKIMWI Singida ina vituo 37 vinavyotoa huduma ya ushauri nasaha na upimaji.

Kwa mujibu wa Mratibu wa UKIMWI wa Wilaya hiyo amesema jumla ya watu waliopima VVU katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2021 ni 45162  kati yao wanaume ni 18251 sawa na asilimia 40 na wanawake walikuwa ni 26911 sawa na asilimia 60.

Hata hivyo Mwenge wa Uhuru utaendelea na  ukaguzi wa miradi ya maendeleo kesho Agosti 12, 2022 Singida Mjini.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT.SAMIA WABISHA HODI SINGIDA

    April 23, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.