• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

RC DENDEGO AWAALIKA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE MKOA WA SINGIDA.

Posted on: August 6th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mheshimiwa Halima Dendego amewakaribisha wawekezaji wakubwa na wadogo kwenda kuwekeza katika mkoa huo kwa sababu tayari imeweka mazingira mazuri kwa mtu au Kampuni kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo Viwanda, Kilimo, Madini na Utalii.

Akizungumza kwenye Kongamano la Uwekezaji lililojumuisha wawekezaji

mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi katika Maonesho ya Kimataifa ya Nane Nane yanayofanyika Jijini Dodoma, Mkuu wa mkoa wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amewahakikishia wawekeza watakaowekeza kwenye mkoa wake kuwa watakuwa wamechagua mkoa sahihi wa kuwekeza kwa sababu upo kati kati ya nchi na miundombinu ya usafiri ni mizuri.

Mkuu huyo wa Mkoa amesema kuwa anataka kuona mkoa ya Singida unakuwa mkoa wa kwanza nchini kwenye idadi kubwa ya wawekezaji kama hatua ya kukuza uchumi wa wananchi na wa Taifa kwa ujumla kupitia fursa za uwekezaji.

 

Kwa Upande wake,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akizungumza wakati wa kufungua Kongamano hilo la uwekezaji, amesema kwa Serikali inaendelea kuchukua hatua stahiki katika uimarishaji wa uwekezaji hasa katika sekta za Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa sababu zinamchango mkubwa katika kuinua uchumi wa wananchi na wa Taifa kwa ujumla.

Profesa Mkumbo amesema kwa sasa Serikali imefanya marekebisho makubwa ya sera na sheria za uwekezaji nia ikiwa ni kuondoa vitendo vya ukiritimba ambavyo vilikuwa vinakwamisha wawekezaji wengi kuja kuwekeza katika maeneo mbalimbali nchini.

Amesema mchakato huo unaenda sambamba na upunguzaji wa utitiri wa baadhi ya Taasisi mbalimbali za umma ambazo zingine ni legevu na zimekuwa kiwango katika masuala ya uwekezaji.

Kongamano hilo limehudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mstaafu na Balozi wa Kilimo nchini Mizengo Pinda.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego akieleza fulsa za uwekezaji zilizoko mkoani humo wakati wa kongamano la uwekezaji lililofanyika kwenye ukumbi wa mikutano uliyopo ndani ya viwanja vya maonesho ya Nanenane jijini Dodoma.

Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatuma Mganga akitoa utambulisho kwa viongozi walioshiriki kwenye kongamano hilo la uwekezaji lililofanyika kwenye ukumbi wa mikutano uliyopo ndani ya viwanja vya maonesho ya Nanenane jijini Dodoma.



Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.