• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

RC Singida Atembelea Masoko Manispaa ya Singida

Posted on: March 2nd, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Binilith Mahenge leo ametembelea masoko ya Kilambida, Mitunduruni na Mahembe yaliyopo katika Manispaa  hiyo lengo likiwa ni kukagua mazingira ya usafi pamoja na maeneo waliyokwisha pangiwa kufanyia biashara ya mazao ya chakula.

Akiwa katika ziara hiyo Mkuu wa Mkoa huyo akamuagiza Mkurungezi wa Manispaa ya Singida kutafuta fedha kwa ajili ya kulipa  fidia kwa wamiliki wa   makaburi yaliyopo soko la mahembe ili kupisha wafanyabiashara pamoja na  kufanya marekebisho ya miundombinu  katika baadhi ya maeneo hayo.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Binilith Mahenge akizungumza wakati wa ziara hiyo

 Aidha Dk. Mahenge kasisitiza ujenzi wa maegesho ya magari na sehemu za kushushia mizigo pamoja na kulifanya soko la Mahembe kama sehemu ya kushushia ndizi na viazi kutokana na maeneo mengine kuwa yameshajaa

Dk. Mahenge akaendelea kuitaka Manispaa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa ya kila kinachoendelea  kuhusu fidia za makaburi na baadhi ya wamiliki wa nyumba ambazo zinatakiwa kupisha eneo la soko na kuwataka kuweka utaratibu ambao hautachelewesha utekelezaji wa shughuli hizo.

Naye Mkuu wa wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili akawataka wafanyabiashara hao kuhakikisha kwamba wanabaki katika maeneo yao waliyopangiwa wakati serikali ikiendelea kupambana na changamoto zinazojitokeza.

Mkuu wa wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili akizungumza wakati wa ziara hiyo

Aidha DC Muragili akawataka viongozi wa masoko kuelimishana ili kutoa ushirikiano wakati wa ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya masoko ikiwa ni pamoja na kukubali kufanya maendeleo wakati taratibu za malipo ya fidia yakiendelea.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Dk. Adrianus Kalekizi amemueleza Mkuu wa Mkoa kwamba Manispaa imejipanga kuhakikisha zoezi  litakamilika ifikapo mwezi Mei 2022 ambapo  kwa sasa tayari bajeti yake imeshapangwa.

Ziara hiyo ya Mkuu wa Mkoa iliwahusisha Viongozi wote wa Manispaa kamati ya ulinzi na usalama pamoja na wataalamu mbalimbali wa mazingira.

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Dk. Adrianus Kalekizi akielezea jambo wakati wa ziara hiyo

Baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Kilambida lililopo Singida Mjini wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa huo

Mwisho.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.