• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Serukamba aagiza TAKUKURU kushirikiana na Vyama vya Wafanyakazi kukomesha rushwa ya ngono.

Posted on: May 1st, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba leo ameiagiza Taasisi ya kudhibiti na kupambana na rushwa ((TAKUKURU) Mkoani hapo kushirikiana na vyama vya wafanyakazi kutokomeza rushwa katika maeneo ya kazi ikiwemo rushwa ya ngono ambayo imeonekana kushamiri sehemu nyingi.

Maagizo hayo ameyatoa leo wakati wa sherehe za wafanyakazi Mei mosi iliyofanyka ki Mkoa katika uwanja wa Liti uliopo Manispaa ya Singida ambapo alieleza changamoto ya rushwa inavyoweza kurudisha maendeleo nyuma ya Mkoa huo.

Aidha Serukamba ametoa muda wa kipindi cha miezi mitatu Taasisi hiyo imletee taarifa ambavyo wametengeneza mikakati ya kupambana na aina hizo za rushwa.

" Kumekuwepo na tatizo la rushwa ya ngono katika maeneo yetu ya kazi naelekea  TAKUKURU kwa kushirikiana na Vyama vya wafanyakazi kukomesha swala hilo na natoa muda wa miezi mitatu nipate taarifa namna ambavyo umeweza kulidhibiti" alisema Serukamba.

Kwa upande wake Mratibu  wa TUCTA Mkoa wa Singida, Maria John Bange ameiomba Serikali  kuhakikisha watumishi wanalipwa stahiki zao za kisheria  na mafao ya kustaafu kwa wakati, jambo ambalo mgeni rasmi RC Serukamba alilitolea maelekezo kwa Wakurugenzi kuhakikisha wanalipa stahiki hizo huku akitoa maelekezo kwa Shirika la Bima na NSSF kuhakisha wanawalipa mafao kwa wakati.

Hata hivyo  Mratibu huyo  ameomba Serikali kuhakikisha mabaraza ya wafanyakazi yanafanyika kwa wakati na uwepo wa staha katika sehemu za kazi.

MATUKIO KATIKA PICHA

Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatma Mganga akizungumza wakati wa sherehe za Mei Mosi zilizofanyika ki mkoa katika uwanja wa Liti uliyopo Singida Mjini.



Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.