• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Serukamba Awaita Wawekezaji Kuwekeza Singida

Posted on: November 29th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba, amewataka Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuja kuwekeza Mkoani Singida kwa kuwa kuna uwepo wa miundombinu bora ya barabara za kufika mikoa yote nchini, hoteli na nyumba mbalimbali kwa ajilia ya mikutano huku akieleza ukarimu wa watu wa Mkoa huo.

Kauli hiyo ameitoa leo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika iliyofanyika Kitaifa katika uwanja wa stendi ya zamani uliyopo Singida Mjini ambapo ameeleza kwamba Mkoa huo una fursa nyingi za uwekezaji katika Kilimo, viwanda na uendeshaji wa mikutano mbalimbali.

Aidha ameeleza kwamba Mkoa wa Singida unatekeleza mipango yake kwa kupitia Takwimu za Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 ambapo Mkoa una watu wapatao 2,008,058 ambapo Wanawake ni 1,012,355 na Wanaume ni 995,703

Aidha amepongeza Shirika la Taifa la Takwimu (NBS) kwa maamuzi yao ya kufanya mkutano huo Mkoani Singida ambao umesaidia kuongeza mzunguko wa fedha kwa wananchi wa hapo.

Mkutano huo ulianza tarehe 28/11/2022 katika ukumbi wa mikutano KBH ambapo kulikuwa na Kongamano na kuhudhuriwa na wadau zaidi ya Mia mbili.

Naibu Waziri Kilimo Anthony Peter Mavunde (Mb), (Mgeni rasmi) akihutubia wananchi waliohudhuria kwenye Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika tarehe 29 Novemba, 2022 katika uwanja wa stendi ya zamani Mjini Singida

Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Anne Semamba Makinda, akizungumza wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika katika uwanja wa stendi ya zamani Mjini Singida 29 Novemba, 2022 

  Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa, akizungumza wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika katika uwanja wa stendi ya zamani Mjini Singida 29 Novemba, 2022 




Matukio mbalimbali yakiendelea wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika katika uwanja wa stendi ya zamani Mjini Singida 29 Novemba, 2022 

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.