• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Serukamba awataka wenye Malori kupaki ndani ya Kituo cha mabasi cha Manyoni.

Posted on: June 21st, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida leo tarehe 21.06.2023 wametakiwa kutumia Kituo cha mabasi makubwa na madogo cha mjini hapo kuegesha malori muda wa usiku wakati mchana wakiendelea na huduma za mabasi hayo.

Maagizo hayo yametolewa na Mkuu wa Mkoa huo Peter Serukamba, wakati wa Baraza la Madiwani lililokutana kupitia hoja za ukaguzi ambapo alibainisha kwamba ili kuongeza mapato ya Halmashauri hiyo lazima chanzo hicho kitumike kupata fedha.

Amesema mwezi kuanzia tarehe 1 hadi tarehe 31 mwezi wa tano wakati malori yakipaki nje ya kituo cha mabasi walikusanya jumla ya Tsh.Milioni 2 na laki moja (2,100,00) lakini baada ya malori kuamriwa kupaki ndani ya Kituo cha mabasi kwa siku nane  (8)  walikusanya zaidi ya  Tsh.Milioni 1 na laki Tano (1,500,000).

RC amewataka Madiwani wa Halmashauri hiyo kuunga mkono kwa sababu fedha zitakazopatikana ni kwa ajili ya maendeleo ya Halmashauri ya maendeleo kwa wananchi wa Manyoni.

Hata hivyo amesisitiza kwamba zoezi la makusanyo ya mapato ni suala la kufa na kupona hivyo hategemei kuona watu wakienda kinyume na makubaliano hayo.

Kwa upande wake Dkt. Pius Chaya Mbunge wa Manyoni  amesema wao walijaribu kuweka askari kwenye geti la Kintinku ambapo mapato yaliongezeka kutoka Milioni 2.5 kwa mwezi hadi kufikia zaidi ya Milioni 20 kwa mwezi hivyo akimhakikishia RC kwamba watamuunga mkono kufanikisha hilo.

Akikomelea hoja ya kuinua mapato Wilayani Manyoni Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatma Mganga ameshauri kuboreshwa vibanda  vilivyopo ndani ya stendi hiyo ili iwe ni chanzo cha uhakika ili kubadilisha Hali ya makusanyo eneo hilo.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Jumanne Mlagaza akizungumza wakati wa kikao hicho.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.