• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

TARURA Mkoa Singida wamepongezwa kwa jitihada wanazozifanya kufungua barabara mpya na kuboresha zilizochoka

Posted on: August 13th, 2022

Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini(TARURA) Mkoani Singida wamepongezwa kwa jitihada wanazozifanya kufungua barabara mpya na kuboresha zilizochoka  huku wakijenga vivuko mbalimbali ili kurahisisha maisha kwa wananchi Mkoani hapo.

Pongezi hizo zimetolewa leo tarehe 13.08. 2022 na Makamu Kiongozi Mbio za Mwenge wa Uhuru Emanueli Ndege Chacha wakati wa ukaguzi na uzinduzi wa daraja na Barabara ya  Utaho Makiungu katika Kijiji cha Mnyinga Wilayani Ikungi.

Akihutubia wananchi walihudhuria kupokea Mwenge wa Uhuru Ndege Chacha amesema pamoja na changamoto kidogo zilizojitokeza katika Ujenzi wa daraja hilo amewapongeza TARURA kwa kujitoa na kufanya kazi kwa umakinifu mkubwa.

Katika ukaguzi wa daraja hilo Mwenge wa Uhuru umebaini changamoto kadhaa zikiwemo kukosekana kwa ukingo wa daraja ambapo ameagiza kujengwa haraka ili daraja liweze kudumu kwa muda mrefu.

Hata hivyo Kiongozi wa Mbio za Mwenge ameagiza Barabara hiyo kuboreshwa ikiwemo baadhi ya maeneo ambayo yameonekana kuwa mabonde ifikapo mwisho wa mwezi Agosti 2022.

Kwa upande wake Mhandisi wa Wilaya ya Ikungi Ally Mimbi amesema daraja hilo limejengwa kwa nondo na zege na kugharimu kiasi cha Tsh.Milioni 112.1 zitokanazo na tozo.

Aidha Mhandisi Mimbi amesema kwamba daraja hilo litawasaidia wananchi wa kijiji cha Kituntu Siuyu, Makiungu na Makotea katika kufanya shughuli za kiuchumi na Biashara.

Mwisho

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.