• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

TSH. 27,000/- PEKEE KUWASHA UMEME KILA KAYA.

Posted on: February 3rd, 2026

Mkoa wa Singida unakwenda kunufaika na umeme katika vitongoji vyake vyote ,ikiwa ni mpango wa Serikali kupitia Wakala wa Nishati vijijini(REA) katika mradi wa ujazilizi fungu la 2(a) ambapo mpaka kukamilika kwake utafikia kaya 13,259.

Hayo yamezungumzwa wakati Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe.Halima Dendego alipowapokea wakandarasi waliofika kwa ajili kuanza mradi huo ambao ni China Railway No.4 Engineering Group Ltd unaogharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 45.7 kutoka Serikali kuu.

Akizungumza,Mhandisi Thomas Mbaga ambae  Kaimu Mkurugenzi Umeme Vijijini  kutoka REA, amesema kuwa mkoa wa Singida unakwenda kuwa mnufaika wa mradi huo wa umeme ambapo vitongoji 376 vitakwenda kufikiwa na huduma hiyo.

Sambamba na hilo,amesema kuwa kupitia mradi huo wananchi ambao watakua bado kupata huduma ya 'wiring' watapata huduma hiyo kupitia program ya 'umeme tayari' ambayo mwananchi atapatiwa umeme kwa gharama ya Shilingi 27,000 pekee.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Dendego ameahidi ushirikiano wa kutosha kwa wakandarasi hao muda wote watakapokua wakitekeleza mradi huo Mkoani hapa akilenga kuhakikisha wananchi katika vitongoji vyote wanafikiwa na umeme kwa asilimia mia moja.

Kadhalika amewataka wananchi kutumia fursa hiyo vizuri bila kubaki nyuma akisisitiza kuwa hiyo itakuwa mojawapo ya fursa ya kuwainua kiuchumi kutokana na fursa nyingi zitakazojitokeza baada ya kupata umeme ikiwemo maendeleo ya viwanda vidogo na vikubwa 

Mpaka sasa,jumla ya vitongoji 1,052 kati ya 2,289 Mkoani Singida vimekwisha kupata umeme.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MAAFISA UGANI WAASWA KUWA WATATUZI KERO ZA WAKULIMA SHAMBANI

    February 02, 2026
  • TSH. 27,000/- PEKEE KUWASHA UMEME KILA KAYA.

    February 03, 2026
  • SINGIDA YAWEKA MKAZO KILIMO CHA ALIZETI NA MALEZI BORA KWA WATOTO

    February 01, 2026
  • "KILA MMOJA ALINDE ENEO LAKE NA KUFUATA SHERIA" - RC DENDEGO

    January 27, 2026
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.