• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

TUTAIFANYA SINGIDA MJI WA KUPUMZIKIA - DKT MAHENGE

Posted on: November 15th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge leo 15.11.2021 ametoa maagizo kwa Wakuu wa Taasisi za TANESCO, wakala wa barabara za mijini na vijini (TARURA), wakala wa barabara (TANROAD) na Manipaa  ya mji wa Singida kupanda miti katika maeneo yote muhimu  na kutengeneza maeneo ya kupumzikia kwa lengo la kubadilisha mandhari ya mji wa huo.

Akiongea  wakati  wa kikao hicho kilichofanyika leo ofisini kwake Dkt. Mahenge amesema umefika wakati wa kuubadilisha mji wa Singida kwa kuwa umekuwa ni makutano ya kibiashara kutoka pande zote za nchi hivyo kufanya kuwa eneo la kupumzikia.

Aidha RC Mahenge ameagiza ujenzi wa vimbweta katika fukwe za maziwa ya Kindai na Singidani, katikati ya mji na pembezoni  pamoja na upandaji wa miti kuzunguka maeneo hayo jambo ambalo litasidia kuboresha mazingira na kuleta hewa safi pamoja na vivuli .

Kikao kazi hicho kilipanga kuwakutanisha  Mkurungezi wa Manispaa, TARURA, TANESCO, TANROAD, Wakala wa Bonde, VETA na Magereza ambapo Mkuu wa Mkoa amebainisha kwamba huko ndipo penye rasilimali za kufanikisha kazi hizo.

Wakiongea kwa nyakati tofauti wawakilishi wa Taasisi hizo wamemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa jitihada zake za kuubadilisha mkoa wa Singida  na kuahidi kwamba watakutana na kufanya kikao kidogo cha kukubaliana namna ya utekelezaji wa maagizo hayo na kuanza kazi mara moja

Hata hivyo wamebeinisha kwamba uboreshwaji wa mazingira hayo kutasaidia utunzaji wa mazingira na kuvutia wawekezaji ambapo biashara za ndani na nje ya mkoa zitakuwa endelevu.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.