• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Utekelezaji wa Miradi 10 ya barabara mkoani Singida ni wakufa na kupona.

Posted on: March 10th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba  amewashauri wabunge wote wa Mkoa wa Singida kushirikiana kutafuta fedha Serikalini ili kusaidia  utekelezaji wa miradi kumi (10) ya Barabara ya  Mkoa huo iliyopangwa kutekelezwa na Wakala wa Barabara nchini (TANROADS).

Ushauri huo ameutoa wakati wa Kikao cha Bodi ya Barabara ya Mkoani hapo Machi 12, 2023 kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano baada ya Wakala wa Barabara ya nchini TANROADS kutoa taarifa kwamba katika mwaka wa fedha wa 23/24 wana jumla ya miradi 10 yenye jumla ya Km  1718.31

Serukamba amebainisha kwamba, endapo miradi hiyo kumi ikitekelezwa kwa ufanisi mkoa utakuwa umepiga hatua kwenye upande wa miundombinu ya usafirishaji hivyo ni jukumu la kila Kiongozi kutafakari namna ya upatikanaji wa fedha hizo.

"Nashauri zoezi la utafutaji wa fedha za utekelezaji wa mradi wa barabara ufanywe na kila mmoja wetu, wabunge mkatusaidie Bungeni TANROAD muongeze uhusiano na makao makuu ili tuhakikishe fedha zinapatikana" Alisema  Serukamba. 

Kwa upande wake Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijiji TARURA Mhandisi David Tembo amesema katika bajeti ya mwaka 2023/24 jumla ya Bilioni 21.43 zimetengwa kwa ajili ya matengenezo zikiwa Bilioni 5.73 zinatokana na mfuko wa barabara, Bilioni 4 zinatokana na mfuko wa jimbo wakati Bilioni 10.65 ikiwa ni ongezeko la bajeti ya tozo ya mafuta.

Hata hivyo wajumbe walipongeza taasisi hizo kwa namna ambavyo wamekuwa wakifungua na kukarabati barabara huku baadhi ya wakuu wa Wilaya waliomba kuongeza idadi ya taa za Barabarani ili kupendezesha miji pamoja kuongeza usalama wa watu na mali zao.

Mwisho

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.