• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

WAHANDISI MKOA WA SINGIDA WAMKOSHA WAZIRI MKUU

Posted on: July 17th, 2022

Waziri Mkuu wa Jamhuri muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewapongeza wahandisi wa Mkoa wa Singida kwa umahiri wao Katika kubuni na kusimamia kazi za Ujenzi ambazo zimefanyika sehemu mbalimbali Mkoani hapo.

Pongezi hizo zimetolewa leo Katika Kijiji Cha  Mkomo kilichopo kata ya Iguguno Mkoani hapo wakati wa ukaguzi wa daraja la Mkomo  ambapo wahandisi kwa kutumia ubunifu wao wameweza kuokoa Milioni 448 Katika Ujenzi wa  daraja hilo kwa kutumia teknolojia rahisi ya mawe.Waziri Mkuu amesema Serikali inatumia fedha nyingi kujenga madaraja ambapo endapo teknolojia hiyo itaenezwa kwa wahandisi wengine itazidi kuokoa fedha nyingi za Serikali katika Ujenzi huo."Nawapongeza Sana kwa kazi nzuri mnayoifanya, nimetembelea Ujenzi wa shule ya wasichana Solya wilayani Manyoni, nimetembelea Kituo Cha Afya Mtoa Iramba leo nipo Mkomo nimeiona  daraja la mawe nawapongeza kwa kazi nzuri na ubunifu mnaofanya, mmeokoa kiasi kikubwa Cha fedha"  alisemaAmesema umefika wakati sasa wahandisi wengine kuiga taaluma hiyo ya mawe kwa kila Mkoa kwakuwa kila Mkoa una mawe mengi Jambo ambalo litasaidia  kupunguza gharama za Ujenzi.Amewataka wahandisi hao kwenda kuangalia eneo la Mtoa Wilayani Iramba na kufanya tathmini ya unenzi wa daraja kubwa Katika eneo lenye usumbufu wa maji ambapo Awali ilionekana kujitaji gharama za TSH. Milioni 900." nataka wahandisi wa mikoa mingine waige ili tuweze kujenga madaraja  ya mawe, Lakini pia Jana wananchi wa kata ya Mtoa waliomba Serikali kuwajengea daraja katika kata hiyo,Sasa nendeni mkafanye tahamni kwa kuwa inawezekana tukapunguza gharama kutoka Milioni 900 mpaka kufikia Milioni 102"alisema Waziri Mkuu.Kwa upande wake Mhandisi wa TARURA  Tembo  Devidi ambaye ndiye Msimamizi wa Ujenzi wa daraja hilo la Mkomo amesema daraja limekamilika kwa asimia mia moja na limegharimu sh.102 kwa kutumia teknolojia ya mawe na endapo lingetumia lingegharimu Milioni 550.Amesema daraja hilo lenye urefu wa Mita 30 na upana wa Mita 7 litawasaidia wananchi kuendesha Shughuli mbalimbali zikiwemo Biashara na huduma nyingine kijamii.Amesema teknolojia hiyo ya mawe  imetumika zaidi katika nchi za Hispania na kwa hapa Nchini zaidi ni Mkoa wa njombe na KigomaNaye Naibu Waziri wa TAMISEMI Dr.Festo John Dugange Wameendelea kuwasiliana na meneja TARURA wa Mikoa kuahakikisha babara zinakuwa Bora na za viwango vya juu na zipitika kwa mwaka mzima.Amesema Katika mwaka wa fedha wa 2022/23  walaya ya Mkalama imeongezewa bajeti ya Barabara za TARURA  kutoka mioni 600 hadi kufikia Bilioni 2.2 Lengo likiwa ni kuboresha Maisha ya wananchi wakati bajeti ya Mkoa wa Singida ikiwa imeongezewa kutoka Bilioni 6 mpaka Bilioni 23.Mwisho

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT.SAMIA WABISHA HODI SINGIDA

    April 23, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.