• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

WATUMISHI SINGIDA RS WAPEWA MOTISHA KUELEKEA SIKUKUU ZA KRISIMASI NA MWAKA MPYA 2025

Posted on: December 24th, 2024

Kuelekea katika sherehe ya krisimasi Desemba 25,na mwaka mpya 2025, Uongozi wa Sekretarieti ya mkoa wa Singida umeandaa na kukabidhi zawadi mbali mbali kwa Watumishi kama kielelezo cha upendo na kujali kuelekea katika sikukuu /sherehe za krisimasi na mwaka mpya.

Akizungumza wakati wa gafla hiyo,Kaimu Katibu Tawala Ndg.Starnslaus choaji, amesema tukio hilo limefanyika kwa lengo la kuthamini mchango watumishi wote kwa ushirikiano waliokuwa nao pamoja kwa muda wa mwaka mzima uliofanikisha mipango na malengo mbali mbali yaliyokuwa yamepangwa kufanyika.

"Zawadi hizi ni sehemu ndogo ya kuonyesha kuthamini uwepo wa watumishi wote kwa kuonyesha ushirikiano ambao umezaa matunda ya mafanikio katika kuhakikisha Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida inafanya kazi kwa weledi katika kuwahudumia na kuwafikia wananchi wake kwa wakati."alisema Choaji

Ameongeza kwa kusema kuwa motisha hizo hazitafikia tamati kwani licha ya kufanyika kila mwaka,mwakani zitaboreshwa zaidi na kupendeza kuliko ilivyo sasa.

Afisa Utumishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Bi.Josephine Mbozu akizungumza kwa niaba ya watumishi wengine baada ya kupokea zawadi hizo ameushukuru uongozi wa Sekretarieti kwa kuwajali na kuutambua mchango wao katika taasisi hiyo.

" Tunashukuru sana kwa zawadi ya Christmas,Zawadi tulizopata  zimetufaa sisi pamoja na familia zetu, tunasema Asante kwa upendo wenu kwa sisi watumishi .Mwenyezi Mungu awabariki sana kwa kutujali"alisema Bi.Josephine.

Akionyesha kufurahia baada ya tukio hilo,Katibu wa Madereva  Bw,Shamakala amesema ni jambo la faraja kwa viongozi kutuamini mchango wao katika kazi hivyo wamewapa chachu ya kuzidi kuipenda kazi yao kwani mahusiano kati yao na viongozi ni mazuri na mazingira ya kazi ni ya furaha na amani.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.