• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Singida wafundwa kuweka akiba.

Posted on: February 23rd, 2022

Watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Singida leo wamejengewa uwezo wa uwekaji wa akiba fedha zao  kupitia kampuni ya UTT AMIS inayohudumia mifuko mbalimbali ikiwemo mfuko wa umoja, wekeza maisha, mfuko wa watoto na mfuko wa kujikimu.

Akieleza umuhimu wa kuwekeza katika mifuko iliyoanzishwa na ATT AMIS muendesha mada Bi Grace Ngairo kutoka Taasisi ya UTT AMIS iliyo chini ya Wizara ya fedha amewahamasisha watumishi kujiunga na mifuko hiyo kwa kuwa kampuni hiyo inaendeshwa na wataalamu waliobobea  katika masuala ya uwekezaji.

Aidha Grace amesema mifuko hiyo ni rahisi kufuatitia mienendo ya masoko kwa mteja na wawekezaji wanafaidika pamoja na unafauu wa gharama za uwekezaji.

Akiendelea na wasilisho lake kwa watumishi hao Grace akabainisha kwamba kupitia mfuko wa taasisi hiyo mwekezaji anapunguza hatari za uwekezaji kwa kuwekeza katika uwekezaji anuai ambapo alibainisha kwamba mfumo huo ni rahisi kujiunga.

Aidha amewashauri watumishi hao kupunguza matumizi yasiyokuwa ya lazima huku akiwafundisha kutenga asilimia 10 hadi 20% kwa fedha yeyote wanayoipata ili kuongeza uwekezaji kwa maisha ya baadae.

Naye Kaimu Afisa Tawala wa Mkoa huo Bwana Justo Hermani akitoa shukrani kwa watoa mada hao amewataka watumishi kujitafakari kwa mafunzo waliyoyapata na kuaanza kuwekeza kwa ajili ya maisha yao ya baadae na watoto wao.

Bwana Justo akabainisha kwamba uwekezaji huo utawasaidia watumishi ambao wengi wao wamewekeza kwenye ujenzi wa majumba na ununuzi wa magari ambao amesema mali hizo huchukua muda mrefu kuuzika pindi mtumishi anapopata dharura kuliko fedha uliyowekeza.

Kwa upande wake Bwana Peter Kashindye moja ya watumishi waliohudhuria mafunzo hayo  ameshukuru ujio wa wataalamu hao ambao ameeleza kwamba uwekezaji uliofundisha  utasaidia katika kujipanga  kusomesha watoto kwa urahisi na kujiandalia maisha ya baadae.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.