Posted on: February 12th, 2026
Wazazi na walimu wameaswa kudumisha ushirikiano wa karibu ili kuhakikisha elimu bora inaendelea kutolewa shuleni na kuleta matokeo chanya kitaaluma. Rai hiyo imetolewa leo tarehe 12 Februari 2026 na A...
Posted on: February 8th, 2026
Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Fatuma Mganga, amesema taasisi za dini ni nguzo muhimu katika kujenga maadili, kuimarisha umoja wa kitaifa na kukuza utii wa sheria miongoni mwa wananchi, akisis...
Posted on: February 6th, 2026
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego ametoa wito kwa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na wadau wa maendeleo kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa miradi ya kilimo ili kuhakiki...