Posted on: August 10th, 2022
Akiongea wakati wa makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru huo kutoka Wilaya ya Iramba, Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Sophia Kizigo amesema kwamba Mwenge utakagua miradi ya Ujenzi wa shule kupitia fedha za Uviko ...
Posted on: August 10th, 2022
Mwenge wa Uhuru Wilayani Iramba umekamilisha ziara yake kwa kukagua, kuweka jiwe la msingi na kuzindua miradi 6 ikiwa ni pamoja kutembelea vikundi vya wajasiriamali.
Katika taarifa yake Mkuu wa Wil...
Posted on: August 9th, 2022
Mwenge wa Uhuru Mkoani Singida umejipanga kukagua miradi yenye thamani ya Bilioni 8.28 ikiwa ni jumla ya miradi 35 inayohusu Elimu, Afya, Utawala bora, Maji, Barabara na uwezeshaji wa vijana kiuchumi....