Posted on: January 14th, 2022
Watendaji wa Vijiji na Kitongoji kwa kushirikiana na madiwani pamoja na wananchi wa Mkoa wa Singida wametakiwa kushirikiana ili kufanikisha miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa maeneo y...
Posted on: January 12th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge amewataka wasimamizi wa mradi wa kilimo cha korosho cha pamoja kufunga akaunti zote za benki pamoja na kusimamisha upokeaji wa fedha kwa ajili ya ugawaji ...
Posted on: January 11th, 2022
Wakulima Kata ya Muhalala Wilaya ya Manyoni mkoani Singida wametakiwa kuongeza kasi ya ununuaji wa mbegu zinazokomaa kwa muda mfupi zikiwemo alizeti, mtama na viazi wakati wakisubiri mvua ...