Posted on: September 30th, 2019
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Singida ambapo atatembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja n...
Posted on: September 20th, 2019
Akizungumzia maonesho haya Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi, amesema hii ni fulsa kwa wote ambao wanahusika na masuala ya uzalishaji mali na kuongeza thamani kwa bidhaa zetu hapa Tanzania.
...
Posted on: September 15th, 2019
SERIKALI ya Mkoa wa Singida imewapongeza walimu na wanafunzi kutoka shule mbalimbali zilizopo mkoani Singida kwa kufanya vizuri katika matokeo ya kidato cha sita mwaka huu 2019 hadi kupelekea kushika ...