Posted on: October 13th, 2017
Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeahidi kutoa timu ya wataalamu watakao suluhisha mgogoro wa mpaka kati ya Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida na Wilaya ya Hanang’...
Posted on: October 7th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Iramba Emmanuel Luhahula, asimamie kuvunjwa kwa bodi ya Ushirika wa Kijiji cha Msai Wilayani Iramba ndani ya wiki mbili, ...
Posted on: October 3rd, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi ameishauri Benki ya CRDB Mkoa wa Singida kuwasiadia vijana elimu na mikopo ya kutambua na kutumia fursa zilizopo ili waachane na kauli za kujiita ‘mab...