Posted on: September 26th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi amepiga marufuku Shule zote Mkoani Singida kuagiza chaki nje ya Mkoa kwakuwa kuna viwanda vinavyozalisha chaki bora mkoani hapa.
Dkt Nchimbi ametoa...
Posted on: September 18th, 2017
Benki ya NMB imetakiwa kuwasaidia wafanyabiashara Mkoani Singida kuanzisha kiwanda cha kutengenea vifungashio, ili waweze kuhifadhi bidhaa zao katika ubora unaokubalika kitaifa na kimataifa.
...
Posted on: September 15th, 2017
Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Mhe. Paul Sherlock leo amefanya ziara mkoani Singida na kuahidi kuangalia namna ya kufadhili ujenzi wa mabwawa ili yaweze kusaidia kilimo cha umwagiliaji na si...