Posted on: September 14th, 2017
Madiwani Mkoani Singida wametakiwa kulima mazao ya biashara kama vile Pamba na Korosho ambapo mazao hayo ni ya kipaumbele Mkoani hapa, ili kuonyesha faida za kilimo hicho kwa wananchi.
Mkuu ...
Posted on: September 13th, 2017
Wamiliki wote wa migodi inayofanya shughuli za uchimbaji wa madini Mkoani Singida wameagizwa kuhakikisha kuwa hakuna vifo wa majeruhi katika maeneo yao kutokana na uwepo wa miundombinu mibovu a...
Posted on: September 6th, 2017
Idadi ya Watahiniwa wa mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi Mkoa wa Singida inayoanza leo imeongezeka hadi kufikia wanafunzi 28,947 kutoka wanafunzi 21, 417 waliofanya mitihani hiyo hiyo mwaka ...