Posted on: June 23rd, 2023
Maafisa Elimu mkoani Singida wametakiwa kutoka ofsini kwao na kwenda kuwasaidia Walimu wakuu ambao wanatekeleza miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kupitia mradi wa Boost ili kushauriana namna ya ...
Posted on: June 22nd, 2023
Wataalamu wa Kilimo katika Halmashauri ya Wilaya ya Itigi wameshauriwa kufanya tathmini katika Skimu ya Umwagiliaji maji ya Itagata yenye ukubwa wa ekari 400 na kuigawa kwa vijana 100 au zaidi wa kata...
Posted on: June 21st, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida leo tarehe 21.06.2023 wametakiwa kutumia Kituo cha mabasi makubwa na madogo cha mjini hapo kuegesha malori muda wa usiku wakati mchana wakiendelea na hu...